letra de nyumbani - p-funk majani
[intro]
welcome to my world
yeah, bongo records
yeah (bin laden)
check it
uh
[verse 1]
madogo wanashinda njaa halafu mshua pochi nene (woah)
nnapo kaa kuna visa ndio usiseme (yeah)
kuna nyumba hazina taa ila ndo hazikosi umeme
wazee wanapiga chang’aa ili mida wapige ung’eng’e
tofauti but the same old sh-t
i’ll be out here with same old clique
wachumba awaachi kuloa i’m with the same old drip
same old boy k!lling with the same old clip
napotoka nnapokaa kuna w-nga ndio usipime (yeah)
watoto wana mashine (yeah)
wanangu wako na sime (yeah)
njoo na moto huku uzimwe
halafu nyumbani ni nyumbani
ningetoa wapi huu unyama ka ningezaliwa pengine
dom city juu
posho city juu
usiulize hivi viatu fanya kuuliza miguu
cause you’re everything iam (yeah)
and you’re everything i do
nipeni dili, nipeni dili
kama mchizi wa east zoo, holla
[verse 2]
one second i be starting on them
two second niko speed na waf-kuzia
three second watanipa heshima jina langu
ila i can do the [soul]
j-po nahitaji hili tag la wanangu
mnataka kurusha stimu ‘na mchezo
kama mlevi aliye kesha baa
akingoja bia ya nyongeza
kitendawili
(tega!)
wanakataa kwao wana act maisha mazuri
(wasanii wa bongo fleva)
uh
hainaga kupoa ni fowadi-beki
hata mkipoa mi ndio muda wa kuch0m-a betri
nishawaambia siku mkiniona nimetoboa
haki na waambia ni home, ntaenda kubomoa na nitajenga benki
[chorus: baba levo]
nyumbani ni nyumbani
(nyumbani)
hata kama vichakani
(nyumbani)
nyumbani ni nyumbani
(nyumbani)
hata kama vichakani
(nyumbani)
karibu hapa ndio nyumbani
choo hakuna, ukibanwa nenda vichakani
(nyumbani)
karibu hapa ndio nyumbani
acha dirisha wazi, feni ipo kwa jirani
[verse 3]
kuja duniani ‘umekuwa gifted
kupakataa home mazee ni bonge la mistake
hata wana sikuhizi uwapi ‘hi
umebadili jina sasa unajiita “mr. social distance”
bwa mdogo unakwama, bwa mdogo
choo kimoja bafu la nyasi, bwa mdogo
huku ndio kwenu ‘bwana usipaletee nyodo
ishi na watu fresh [?], bwa mdogo
(he-he-he)
i’m proud to be shy-town boy
anapotokea babastylz
kisha chata na [?]
leo narusha mangoma na wana, ’na enjoy
hashtag wakilisha
nawaacha hoi
[verse 4: rapcha]
nnapokuwa maskani
tuna ball sio utani
j-po life letu sio la ki-boss
kwa akili za mtaani
leo tuna close deal tu mezani
tume chill na mabosi
we’re tossin’ keepin it real na wanangu og yaani toka day mosi
na of course si wahuni tuna date na njaa
so, huwezi kutusimangia misosi
yeah, unyama nimeupata shy-town
iliandikwa [?] hatokei shy-town
siku nikivuta grammy nitadondoka shy-town
kama kuna maisha baada ya kifo bado nitazaliwa shy-town
we ji-mix tu uchunguliie kifo
kwetu kuna bisi bisi huku hakuna pistol
hatuna cha kupoteza maana tumezaliwa hatuna
so, we don’t kiss ass ‘for your info, simple
[chorus: baba levo]
nyumbani ni nyumbani
(nyumbani)
hata kama vichakani
(nyumbani)
nyumbani ni nyumbani
(nyumbani)
hata kama vichakani
(nyumbani)
karibu hapa ndio nyumbani
choo hakuna, ukibanwa nenda vichakani
(nyumbani)
karibu hapa ndio nyumbani
usije washa bange, mwenyekiti ndio jirani
(nyumbani)
he-he, he-he
letras aleatórias
- letra de the muse - john tavener
- letra de say my name (eurobeat remix) - nerissa ravencroft
- letra de you don't know me - gist (지스트)
- letra de nicht hier - vrido
- letra de big stepper (snippet 25.10.2024)* - euro91
- letra de stretching wire - josh ritter
- letra de my opps are pussy - big30 x lil' azrael
- letra de под эффектом (under the effect) - beliwhatt
- letra de parasite - jane leopardo
- letra de the night is young - flora cash