letra de zaida yako - otile brown
nafumbua mboni mfumbe
maana macho yananidanganya
ama nimelewa pombe
maana unapendeza kinyama
hapa natoka na wewe
na kama mbaya iwe lawama
coz i want you–masela
usinikatae mama sio sawa
baby the way you do.. dance
mama nimesimama kidete
fanya kama unaketi
inama nichomeke
baby the way you do the belly dance
mama nimesimama kidete
fanya kama unaketi
inama nichomeke
zaidi yako wee, wee
sitaki mwingine
zaidi yako wee, wee
mi naona wengi ila wewee
sitaki mwingine, zaidi yako wee, wee
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
i see the way you smilе mah
the way you move maah
the way you whinе usione shy
pandisha mizuka twende
now do the coco, coco
do the coco whine, coco
sisi majo majo, jojo
sisi majo majo, jojo
now do the coco, coco
do the coco whine, coco
sisi majo majo, jojo
sisi majo majo, jojo
zaidi yako wee, wee
sitaki mwingine
zaidi yako wee, wee
mi naona wengi ila wewee
sitaki mwingine, zaidi yako wee, wee
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe
kata dimba, kata dimba fire
kata dimba, kata dimba fire
letras aleatórias
- letra de bad karma - brandon lee richardson
- letra de element - gunk rock
- letra de vera e severa - marta falcone (lollipop)
- letra de tell it to the new me - tucker beathard
- letra de tit tat - oscar mikael jolly
- letra de marsmensch - yungmax808
- letra de warzone - trevor rain
- letra de my name is (konbini freestyle) - juice wrld
- letra de la noche es tan fría - downtown gems
- letra de godly - verseborn