letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de vibaya - otile brown

Loading...

inachohitaji moyo
hata akili haiwezi baini
cha mtima cha moyo
hata kama kibaya
ni kifaacho mtu chake
kwako sisikii wala siambiliki
nakupenda kipini sina
kwako mi hoi chakari
nalewa henessy
moyo w-ngu nao
kwako ninatwaa kafanya makazi yeah yeah ooh

nishapenda mapaka mjini
wakanirubuni
nusura wanitoe roho
oooh upendo si kutamani yeah yeah ooh
ila kaja toto la moto
kanipoza kama uji wa mtoto
haters tunawanyoosha vinyoosho
ukaja toto la moto (moto)
kanipoza kama uji wa mtoto (mtoto)
insta tunawanyoosha vinyoosho
nakupenda vibaya (baya baya)
yaani vizuri vibaya (baya baya)
nakupenda vibaya (baya baya)
yaani vizuri vibaya (baya baya)
nampenda mpenda (nani?)
msichana mmoja (nani?)
na jina lake (nani?)
nampenda mpenda (nani?)
msichana mmoja (nani?)
na jina lake (nani?)
(vicky pon dis)
mtoto ulivyosimama umenikaa
ooh nakuwaza kila saa
unavyobana unaachia, bana unaachia
kisha slow it down ghafla unatia gear (mtoto mi hoi)
unavyobana unaachia, bana unaachia
kisha slow it down ghafla unatia gear (mtoto mi hoi)
toto la moto
kanipoza kama uji wa mtoto
haters tunawanyoosha vinyoosho
ukaja toto la moto (moto)
kanipoza kama uji wa mtoto (mtoto)
insta tunawanyoosha vinyoosho
nakupenda vibaya (baya baya)
yaani vizuri vibaya (baya baya)
nakupenda vibaya (baya baya)
yaani vizuri vibaya (baya baya)
nampenda mpenda (nani?)
msichana mmoja (nani?)
na jina lake (nani?)
nampenda mpenda (nani?)
msichana mmoja (nani?)
na jina lake (nani?)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...