letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de one call - otile brown

Loading...

[intro: ruby & otile brown]
yeah
oooh, yeah
shujaa wako
(shujaa wako)

[verse 1: ruby]
ukihitaji rafiki, unipigie
na nitafika hata kabla simu hujaikata
na kifuani mw-ngu nitakuliwaza
na nitakesha, nikikulinda ukilala
najua moyo unataka, akili inataka
najua unampenda, unampenda yule
na tena mimi sina wivu
ila naomba ije siku uje elewa
ije siku uje kuielewa thamani yako

[pre-chorus: otile brown]
that i’m one call away
ukinihitaji mpenzi, nipigie simu yangu
one call away
ukinihitaji mpenzi, ‘shujaa wako

[chorus]
one call
one call away
call me, if you need me
call me
one call
one call away
(yeah)
call me
if you need me
call me
[verse 2: otile brown & ruby]
mapenzi hayafai kuumiza
sasa nini unampendea?
mapenzi hayafai kuliza
kutwa umeshinda ukiyang’ang’ania
wakati ina ku-cost furaha yako
oh, no
(oh, no, oh, no, no)

[hook]
najua moyo unataka, akili inataka
naelewa unampenda, unampenda yule
na tеna mimi sina wivu
ila naomba ije siku uje elеwa
ije siku uje kuielewa thamani yako, mmh

[pre-chorus: ruby & otile brown]
that i’m one call away
ukinihitaji mpenzi, nipigie simu yangu
one call away
ukinihitaji mpenzi, ‘shujaa wako

[outro]
that i’m one call
one call away
call me, if you need me
call me
one call
one call away
(yeah)
call me (oooh)
if you need me
call me

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...