letra de nauelewa - otile brown
otile brown – nauelewa lyrics
inachohitaji moyo
hata akili haiwezi baini
ila cha mtima cha moyo
hata kama sio kizuri
kwako nazama mazima
sioni siambiliki
umekuchagua mtima
dhamani yako haina kifani
it takes two tango
sako kwa bako
tena unik-mbate usiache
mi wako peke yako
it takes two tango(tango)
sako kwa bako(bako)
tena unik-mbate usiache
mi wako peke yako
maana huu mziki(nauelewa)
beiby(nauelewa)
mziki hatari(nauelewa)
nauelewa(nauelewa)
sasa washa ndololi(washa)
oooh washa(washa)
washa tumwone
mmmh
ng’amua wema kwa magu(washa)
oooh washa(washa)
washa tumwone(washa)
mmmh
shingo nyarwanda kigali(washa)
oooh washa(washa)
washa tumwone(washa)
mmmh
mauno ya uganda kangu(washa)
oooh washa(washa)
washa tumwone(washa)
mmmh
it takes two tango(tango)
sako kwa bako(bako)
tena unik-mbate usiache
mi wako peke yako
it takes two tango(tango)
sako kwa bako(bako)
tena unik-mbate usiache
mi wako peke yako
maana huu mziki(nauelewa)
beiby(nauelewa)
mziki hatari(nauelewa)
nauelewa(nauelewa)
maana huu mziki(nauelewa)
beiby(nauelewa)
mziki hatari(nauelewa)
nauelewa(nauelewa)
maana huu mziki(nauelewa)
beiby(nauelewa)
mziki hatari(nauelewa)
nauelewa(nauelewa)
letras aleatórias
- letra de this is how it starts - hugh
- letra de otro rosa - a-tirador láser
- letra de aya - aya
- letra de only you (the voice performance) - juliet simms
- letra de talkin 'should i move to austin' blues - avi vinocur
- letra de crazy horse - stereo total
- letra de edgy - jazzz
- letra de love you again - john hiatt
- letra de dark mirror - dark mirror
- letra de розы (rozi) - 9pills