letra de imaginary love - otile brown
eeeh mie bwana
yeah what’up otile brown
tayari ushajua jones
it’s you boy khaligraph jones
eeeh mie bwana
dadicated to all beautiful girls
nakupenda hata zaidii ya navyojipenda mwenzio
na hayo maisha hayana thamani zaidi yako
ninakuhitaji zaidi ya chochote kile ninachokikosa
na nitapoteza kidogo nilichojaaliwa nikifika nakukosa aah
ninakupenda we wajua ah niteketea kwa ajiri ya dhambi zako
ila nisilojua ni kama nitakuwa nimekuokoa
na wewe ni mimi na mimi ni wewe
mi nawe kitu kimoja ah
ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia
hata nikiwa mbali na wee eh
penzi li ni kama lile la romio na julieth
penzi li ni kama lile la romio na julieth
hakunaga kile nisiloweza fanya
hakunaga kile nisiloweza fanya
wanaodai wamezaliwa pamoja
mimi na wewe tuliumbwa pamoja
we ni nafsi nami niroho
watu wawili wamoja
penzi lisilofananishwa
penzi lisilolinganishwa
la kipеkee eh oho
ninakupenda we wajua ah nitеketea kwa ajiri ya dhambi zako
ila nisilojua ni kama nitakuwa nimekuokoa
na wewe ni mimi na mimi ni wewe
mi nawe kitu kimoja ah
ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia
hata nikiwa mbali na wee eh
penzi li ni kama lile la romio na julieth
penzi li ni kama lile la romio na julieth
hakunaga kile nisiloweza fanya
hakunaga kile nisiloweza fanya
vile nakupenda sidhan kama watanielewa
kanifanya chizi we malkia ili natakapewa
hata bila hela we bado ukanishikilia
bila kujitenga so we pekee ndo umefikiria
so never worry what people what they gonna say
my aim is just make you happy each and every way
msichana wa kiafrika unahitaji sifa
roho yangu kwako nishawajibika
and if u didn’t know ndo sasa mi ninakushauri
na niteketea kwa ajiri ya dhambi zako ooh
eh wajua (yeah i will never leave you alone)
mana mimi ni wewe, wewe ni mimi
mi nawe kitu kimoja ah
ukilia nami nitalia uchungu wako niuhisia
hata nikiwa mbali na wee eh
penzi li ni kama lile la romio na julieth
penzi li ni kama lile la romio na julieth
hakunaga (hakunaga zaidi yangu mimi na wewe)
hakunaga kile nisiloweza fanya
this is dedicated specifically to that special one
yule mmoja form yours truely
otile brown and k, jones
dreamland music baby
letras aleatórias
- letra de tell me on a sunday (1989) - marti webb
- letra de tzhok\hamsin - צחוק/חמסין - appa (israel) - אפה
- letra de glenwood diss track - liltoobig
- letra de b like me freestyle - novi.jp
- letra de ailes noires - tsew the kid
- letra de wild as the night - fruition
- letra de my gay dance song - queenzzielocthevoice independent singer songwriter
- letra de a canção dos jericós - victor tavares
- letra de plan - krizz (rus)
- letra de singabakho - iphupho l'ka biko