letra de wa taifa - orbit makaveli
intro
unh.. mr kesho
yeah.. yap.. yeah
verse(orbit)
look, haijalishi w-nga w-n-leta habari gani
hatuwezi kutetereka hatuvurugani
we ndio sultana, mi ni sultani
vikwazo kibao ila penzi letu ni burudani
she likes fast, she loves it slow, she brings it back then drop it low
she know she bad, i want it all, acha wanafki watokwe roho
siku hizi tunafanana ka’ kanda mbili
mikwanja dili napanga so mum subiri
majanga ukija kudanga ni ka’ shubiri
na w-nga utawapa mw-nga wa kutu k!ll unh
hook(mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede
verse 2 (orbit)
mtoto ana kinyungu ni faya faya
nikizidisha utundu ni wayawaya
akisafisha uvungu nagwaya gwaya
mpaka nakaribisha wazungu ulaya ulaya
mi napenda kila kitu about her yeah!
mapocho pocho na ma sapta sapta yeah!
ni zaidi ya kisu anavyo kata kata
wa zamani naomba mkome kunifuata fuata
she my ride or die, with me like a certified freak
apple b-ttomed booty, mtoto mzuri wa kiafrika
zaidi ya ngoma kali, chati za juu anavyoshika
tozi pata tahadhari, ukishoboka ni vita
hook(mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede
bridge(mr kesho)
chizi wa mirembe, sielewi kabisa, we ndio w-ngu wa maisha
kwa mama twende, penzi kuhalalisha tufanye kuharakisha
tupate baraka mi na wewe, tuishi wote milele
tupae mawinguni my girl ye yeeaah aaaouh!
hook (mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede
letras aleatórias
- letra de epilogue - isaac gracie
- letra de 나로 근심하게 하소서 - 김은혜
- letra de all your love - dustin tebbutt
- letra de feeling you - harrison storm
- letra de old brass wagon - barney
- letra de 동물의왕국 (zoo) - winner
- letra de like you - exes
- letra de pride - moneybagg yo
- letra de watch me - maya isac
- letra de index - exes