letra de doa - only1pabo
mapenzi kama vitani
mateka nimetekwa mi
oooyeeeaahhh oooyeeah
naona niko gizani
nakosa nuru mbele sioni
oooyeeeaahhh oooyeeah
mara mashimo siyaf-kii
kwenye mabonde sikufikii
kila siku wewe
(kila siku wewe)
nikiongeza bidii
walahutaki niamini
oooyeeeaahhh
you got to show me love
yeeeah yeeeeah
doa doa
usinitie doa doa wewe
doa doa
usijenitie doa doa wewe
doa doa
mi sitaki doa doa wewe
doa doa
usijenitie doa doa wewe
yeeeeeeah yeeeeaiiiii ooouwooo
eeeeh iiiiiyyeeh
nashindwa sema mie basi
ukinigasi kwako na love
mama nashindwa left
basi uwe na heshima nshazama
mazima na moto nishazima
chaguo langu ni wewe
punguza visa hizo deko iiieee
utanitoa roho rooooooooh
wanifaa iiiieee
usiende mbali love
baby eeeeey
shabaa laba iiiyyyeeh
mara mashimo siyaf-kii
kwenye mabonde sikufikii
kila siku wewe
(kila siku wewe)
nikiongeza bidii
walahutaki niamini
oooyeeeaahhh
you got to show me love
yeeeah yeeeeah
doa doa
usinitie doa doa wewe
doa doa
usijenitie doa doa wewe
doa doa
mi sitaki doa doa wewe
doa doa
usijenitie doa doa wewe
doa doa
usinitie doa doa wewe
doa doa
usijenitie doa doa wewe
doa doa
mi sitaki doa doa wewe
doa doa
usijenitie doa doa wewe
(usinitie doa)x2
baby usinitie doa
mapenzi yamenizidia mpenzi
usinitie doa doa iyeeeah
letras aleatórias
- letra de i am the bent blade - born gold
- letra de love song for someone - labi siffre
- letra de norman bates #1 | rnja - haristone
- letra de vices - uxoxs
- letra de all the way - matte sexwave
- letra de back on my bullshit - huey mack
- letra de segundos fuera - santaflow
- letra de can you feel me now - flint eastwood
- letra de all of my life - o'hene savant
- letra de crows - d'rok the menace