letra de sijawai - octopizzo
[intro: cutty ranks sample]
6 million ways to die, choose one
gang gang
[hook]
na sijawai na sijawai (na sijawai)
na sitawai na sitawai (na sitawai)
hatujawai hatujawai, tambua mambleina
na sijawai tambua mambleina, ayy
hatujawai tambua mambleina, heh
na sijawai tambua mambleina, heh
na sijawai na sitawai na sitawai na sitawai
[verse 1]
i think i’m big meech, larry hoover
namba nane baby niko all over
pale kwa dance floor ambia msupa “bend over”
8 ball iko ndani, game over
gk serikali, mi gova
chocha chocha chocha, ati ma-range rover
“ati biwott!!,” mi ni tom mboya
rusinga island, hamuezi tutoboa
1990 boy wa rusinga alikuw-nga foreign minister
at age 19, mtaani octopizzo walikuwa washajua mi ni star
madem kunifuata na ma mini skirt
ki-sir godi najiamini
self-employed, najiajiri
na sijawai tambua ngoma za naija mi–
[instrumental break]
[hook]
na sijawai na sijawai (na sijawai)
hatujawai hatujawai (hatujawai)
na sitawai, tambua mambleina
na sijawai tambua mambleina, heh
hatujawai tambua mambleina, heh
na sijawai tambua mambleina, heh
na sitawai na sijawai na sijawai wai wai
8town
[verse 2]
ayy, cheza chini
ju ikikuja ni competition octopizzo ako winning
pweza mimi
ukinitarget itabidi umetravel coasto, hadi malindi
mikadili, kule likoni
uteremke nyali kisha mikindani
yaani ikikuja ni coasto mzima utapata p-i niko ndani
wapi sembe bana? (mahindi)
una pembe sana (waindi)
nikutoe rangi (ya nini?)
we ni ndume bana (jiamini)
[bridge]
mziki ni job mziki ni doh
mziki ni smoke niko mandom
niamini bro nikikushow hizo hype hawana doh
utanishow nini bana?
na mtaani bado najiamini sana
[hook]
na sijawai na sijawai (na sijawai)
hatujawai hatujawai (hatujawai)
na sitawai, tambua mambleina
na sijawai tambua mambleina, heh
hatujawai tambua mambleina, heh
na sijawai tambua mambleina, heh
na sitawai na sijawai na sijawai wai wai
[verse 3]
nikimaliza, siko kwa giza
kaa ni maganji, nimeingiza
wale mambleina, nawakimbiza
hepa, hepa, hepa, hepa, hepa
octopizzo wapi? ngepa ngepa ngepa
shamba zangu wapi? tepa tepa tepa
taxin tema? tema tema tema
na bila diamond nime-go platinum
so unaeza uliza, wema wema wema
[hook]
na sijawai na sijawai (na sijawai)
hatujawai hatujawai (hatujawai)
na sitawai, tambua mambleina
na sijawai tambua mambleina, heh
hatujawai tambua mambleina, heh
na sijawai tambua mambleina, heh
na sitawai na sijawai na sijawai wai wai
[outro]
why lie
won’t you rewind it
na sijawai na sijawai
letras aleatórias
- letra de nauravat jänikset - noitalinna huraa!
- letra de 365 (when.i'm.not.with.you) - h@mpton. (rap)
- letra de не может длиться вечно (can't last forever) - scotch (ru)
- letra de post credits life - the losing score
- letra de wielka miłość - plemnik
- letra de nothing to lose - sally boy
- letra de i can write you a - gwyn
- letra de boyfriend - leah kate
- letra de enough - of mercury
- letra de 기적 (miracle) (album version) - since (신스)