letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kingsize - octopizzo

Loading...

[intro]
pizzo de!
rada chafu (rada chafu rada chafu rada chafu)
rada chafu sana
wewe
8-town
king king
gang gang
pizzo de!

[hook]
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pweza ndio fish
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pweza ndio fish

[verse 1]
king size, kila kitu king size
rizzla, zangu zote king size
sister, unapenda freestyle
mwili ndogo bunde freestyle
master basi seti ile mirza
meanwhile pitishanga mbichwa
king size msupa hupenda king size
kitanda, shada atalete king size
don rada ganji saka hizi doo
pizzo goat rada chafu daily nikimuok
pizzo god mcee dielgininyuok, guok
ambia hizo dogi am back again
still the same, spell the name p-i-double z
renegade hundred n-ggas daily in the street
a hundred thousand when i sneeze
covid-19 when i spit thеy be catching bodies thats me
[hook]
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pwеza ndio fish
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pweza ndio fish

[verse 2]
sick, critical flow clinical
baptist john drip so biblical
spiritual miracle no physical
she nasty her soul so lyrical
my pinnacle is mystical more mythical
grammy rapper number nane nah typical
vintage hawa vijana wote wote digital
photocopy difficult to be original

[hook]
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pweza ndio fish
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pweza ndio fish
[verse 3]
yo, ambia afande alete matchsticks
soldier acha pupa stick to matching
combat jungle fever nikimatch in
yo nashika nare daily bila masti
broken token ziko low zima masti
broken talking funga lips rada dirty
nikipull up ni kivumbi, ndula dusty
last king uliza queen mi ni nasty
dead serious tuko lee funeral
all black going down hii burial
melody, melo-melo-melody
i be switching melodies wanatuita kot

[hook]
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pweza ndio fish
bonga na king nanii
na nikising mamii
si utafeel as if mi nakukiss
bonga na king kwani
na nakidrip nasink
ukidrip nal!ck pweza ndio fish

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...