letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de dudu - ochungulo family

Loading...

[intro: nellythegoon]
oyaa ata ukuwe mtamu aje huwezi jikula
peana peana, peana
(man a badmantingz)
peana hiyo kutu

[chorus: d’more]
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)

niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)

[verse 1: nellythegoon]
zao zao zigi zao zao
kam kam nikupe tu kinyau nyau
wow wow, kusema kweli nimembao mbao
pow pow ka hakuna thie hau hau
bom bom show k!ller k!ller
na maringo mingi ndio sina sina
na nikijicheki niko miraculous
na ya macho naeza pewa binoculars
we ni oldskul ka inheritance
unachochwa bado na mashenanigans
unajua spelling ya anonymous
unapenda chipo na hunoni ass
[chorus: d’more]
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)

niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)

[verse 2: d’more]
dada dada wanimaliza
dada dada wanichizisha
kichwa mbaya nimemea pembe
mahuru mi hujitepa tembe
poster nawakata wembe
sekete kakuwe kiwete
pum pum naipepete
slayqueen namtepe tepe
wasenge tuwalenge lenge
sura mbaya nawatoa teke

[chorus: d’more]
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)

[verse 3: benzema]
rumour zilianza
alejandro na trey songz ni mabratha
jegi zako ndani ni maziwa mala
leo nadai tu mangale na v–gr-
vision 2030, nasupply mapaja
na mapaka tunastretch kama blada
honey moon yetu tutakopa tala
we ni mrefu but simind kutumia ladder
sicheki, sicheki, sicheki venye hucheki mi ni ms-xxy
sicheki, sicheki, sicheki ati ndozi haileti
alejandro mlevi husema ukweli
anatimeingi mangoko wamebleki
nimetokea kisos na madeni
ukuta yangu ni mapainting za majegi

[chorus: d’more]
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
niko na dudu dudu toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)
toa kutu (kutu kutu)

[outro: nellythegoon]
eh wat a gwan
wat a gwan wat a gwan
wat a gwan
ochungulo family
wat a gwan
wat a gwan wat a gwan
wat a gwan

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...