letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de waite - obby alpha

Loading...

[intro]
welcome to the music surgery

[pre-chorus]
waite
waite (waite)
walete
walete (walete)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)

[verse 1]
oh yes, walitaka kuniona chini yao
mungu kanibariki, ona nawaachia vumbi hao
walitaka kuniona nna teseka na mikopo
kutwa kukimbia, kimbia na kulia kama mtoto
hawakutaka katu maisha yangu kuwa na furaha
wao milo mitatu, kw-ngu mmoja unawapa shida
nikipendeza kidogo wanakunja midomo (wananuna)
walitaka shida zangu zisifike kikomo
baada ya muda kitambo, mungu kawapa somo
yaani walicho kikataa yeye kakipa promo
k-mbe mungu akikosea ndio amepatia (hakosei)
kati ya wengi kanibariki na’ hawaamini
akili imewakaa sawa wanasema (haya ni maajabu)
imetokeaje? hivi imekuajе, haya ni maajabu
hawaelewi kivipi mungu kanibariki (haya ni maajabu)
imetokеaje? hivi imekuaje, haya ni maajabu
[?]
[chorus]
ka waite
waite (waite)
walete
walete (walete)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)
waite
waite (waite)
walete
walete (walete)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)

[instrumental break]

[verse 2]
nimekuwa hadithi
wanataka kuzisikia habari zangu
yule kikaragosi, niliye kuwa kama mateka
nawapa ukakasi wanaozifuatilia njia zangu
maana hawaelewi nini siri ya mafanikio yangu
k-mbe yuko mwamba, simba wa yuda ameshika usukani
anafanya ni naringa tena ni navimba mpaka wanatamani
waliosema sitofunga ndio (wamelala, wamelala yoh)
waliosema hatufiki popote (wamelala, wamelala yoh)
waliosema sitatoboa (wamelala, wamelala yoh)
waliosema napoteza muda, yeah (wamelala, wamelala yoh)
[hook]
k-mbe mungu akikosea ndio amepatia hakosei
kati ya wengi kanibariki na’ hawaamini
akili imewakaa sawa wanasema (haya ni maajabu)
imetokeaje? hivi imekuaje, haya ni maajabu
hawaamini (haya ni maajabu)
ah…
imetokeaje? hivi imekuaje, haya ni maajabu
[?]

[post-chorus]
waite
waite (waite)
walete hapa kati kati
walete (walete)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)
waite waambie mungu amefanya tena (waite)
waite
waite (waite)
walete kati kati
walete (walete)
waite na wachawi wote, waite (waite)
waite na wambea wote, waite (waite)
akili imewakaa sawa wanasema (haya ni maajabu)
yaani hawaelewi
imetokeaje? hivi imekuaje, haya ni maajabu
hawaamini (haya ni maajabu)
imetokeaje? hivi imekuaje, haya ni maajabu
waliosema sitofunga ndio (wamelala, wamelala yoh)
waliosema hatufiki popote (wamelala, wamelala yoh)
waliosema sitatoboa (wamelala, wamelala yoh)
waliosema napoteza muda, yeah (wamelala, wamelala yoh)
yeah
[instrumental outro]
the mixing doctor

obb

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...