letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de baba mwema - obby alpha

Loading...

[intro]
[?]

(instrumentals)

[pre-chorus]
baba wewe ni mwema
mungu wewe ni mwema
baba wewe ni mwema
nimeona matendo yako, oh, oh

baba wewe
(baba wewe ni mwema)
mungu w-ngu weh, eh
(mungu wewe ni mwema)
oh, daddy, oh
(baba wewe ni mwema)
mmm, mm
(nimeona matendo yako, oh, oh)

[verse 1]
mwanaume
nani akushinde?
ukisema “ndio”
nani akupinge?
na milele, wewe uinuliwe
maana matendo yako nayajua mie
[verse 2]
asante kwa baraka
unazonipatia usiku na mchana
nikikosa sitalia
maana nak-mbuka ulinipa jana
na pale wanadamu walipo nisaliti
nikashindwa hata kuhema
ukaja baba wewе mfariji, ukanikuta nina chechema
ukanifanya nijue yupi mbaya na ni yupi mtu mwеma
yaani kuna namna unanibariki
mpaka nashindwa cha kusema
ai, yo, yo

[chorus]
baba wewe ni mwema
(ai, yo, yo)
mungu wewe ni mwema
(asante kwa upendo)
baba wewe ni mwema
nimeona matendo yako
(baba wewe)

baba wewe ni mwema
(baba weh, eh, oh)
mungu wewe ni mwema
(mungu w-ngu weh)
baba wewe ni mwema
(asante baba, yeah)
nimeona matendo yako, oh, oh)
(mmm,mm)
(instrumentals)

[verse 3]
baba k-mbe yale maumivu ni dawa, oh
unisamehe, nililalamika
kuna watu niliwapenda sana
mwisho wa siku wakaja toweka, oh
nami nashukuru, kwa kunivusha
maana bila wewe baba, nisinge fika hapa
naona mbingu zimefunguka
na kauli mbiu yako ni ‘mibaraka

[hook 2]
asante kwa baraka
unazonipatia usiku na mchana
nikikosa sitalia
maana nak-mbuka ulinipa jana
na pale wanadamu walipo nisaliti
nikashindwa hata kuhema
ukaja baba wewe mfariji, ukanikuta nina chechema
ukanifanya nijue yupi mbaya na ni yupi mtu mwema
yaani kuna namna unanibariki
mpaka nashindwa cha kusema
baba wewe…

[post-chorus]
baba wewe ni mwema
(ooh, you, you, you)
mungu wewe ni mwema
(asante kwa upendo)
baba wewe ni mwema
(oh, yo)
nimeona matendo yako
(baba wewe)
baba wewe ni mwema
(baba weh, eh, oh)
mungu wewe ni mwema
(mungu w-ngu wewe)
baba wewe ni mwema
(asante baba, yeah)
nimeona matendo yako, oh, oh
(mmm,mm)
(instrumentals)

[outro]
baba wewe…
ooh, you…

[?]

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...