letra de amenikumbuka - obby alpha
[instrumental intro]
difficult…, but not impossible
mmm, mmh
wo-yo-yo
[verse 1: obby alpha]
na sijui niwaite waandishi wa habari
niwape zangu habari
maana kule amenitoa, hakuna alioweza kunitoa
ah, ah (oh)
aliniona nikiwa kwa mbali
nikiwa na ngumu hali
yeye akaja kuniokoa, akayafuta madoa, ah
[pre-chorus: obby alpha]
nikimuita mungu w-ngu anakuja, anakuja, anakuja
anafanya mambo mengi kwa ukubwa, kwa ukubwa, kwa ukubwa
nikisimulia yalio nikuta, nikujuta, nikujuta
ila baba kaja kuweka ukuta, ukuta, ukata
oh, oh
[chorus: bella kombo & obby alpha]
yesu amenik-mbuka (ahe, ahe)
oh baba amenik-mbuka (ahe, ahe)
(ooh, ooh, ooh)
huyu mungu amenik-mbuka (ahe, ahe)
mungu w-ngu amenik-mbuka
ahe, ahe
matopeni, topeni
kanitoa topeni ka niweka na wakuu
[verse 2: bella kombo]
his faithfulness i follow
oh
god is grace and loyal, ooh
siku na majira nazo zikafika (kubarikiwa, kubarikiwa)
jina langu bwana akaliandika (mbarikiwa, mbarikiwa)
matopeni, topeni
kanitoa topeni ka niweka na wakuu
[post-chorus: bella kombo & obby alpha]
huyu yesu amenik-mbuka (ahe, ahe)
yesu amenik-mbuk-, yesu amenik-mbuka (ahe, ahe)
huyu yesu amenik-mbuka (ahe, ahe)
bwana w-ngu amenik-mbuka (ahe, ahe)
yesu amenik-mbuka (ahe, ahe)
(ahe, ahe)
ahe, ahe
ahe, ahe
ahe, ahe (ahe, ahe)
[instrumental outro]
difficult…, but not impossible
letras aleatórias
- letra de kaam 25 - divine (rap)
- letra de let me down - jorja smith
- letra de soul food (eastmix) - dave east
- letra de so excited (bimbo jones remix) - janet jackson
- letra de ukolébavka - karel kryl
- letra de deeper seas - lil palo
- letra de a spear for when the colonials come - drakkar sauna
- letra de just like - xxx (asia)
- letra de lonely in the a.m. - superior (rapper)
- letra de kiss of death - waxwane