letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de hayawani - nyashinski

Loading...

verse 1:
kabla suala ukamilishe mama
tafadhali mola mwambie
milele anichunge mi nisije zama
mashetani yasinivamie
chuki,wivu tunakutesa
linda kwako usiwaskie
kwa nini hatuwezi sote kupenda
oii wenzangu acha niwaambie
labda si sote wendawazimu!
labda laana yetu pesa
kesho ukipoteza kila kitu
dunia nzima itakucheka
wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
wabaki hao ndio kusema
kesho wapigie demu yangu simu
asahau alivyonipenda!
ooo hayawani
chorus:
hayayayaya
hayawani hawa si watu hawa

hayayayaya
binadamu kageuka mnyama!
hayawani, hayayayaya
verse 2:
tunaongezea nini bidii?
na roho ya mwanadamu haitosheki aki
sorry if i never made u happy
i can’t be there for everybody
it’s easy to see
wengi huishi kutafuta kasoro kwako
why man so money minded
you wanna take from every one
man eat man society
huoni haya kuvunja familia
hamna utu ni kujifikiria
woii binadamu wote mmegeuka hyawani!

chorus:
hayayayaya
hayawani hawa si watu hawa
hayayayaya
binadamu kageuka mnyama!
hayawani, hayayayayaya

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...