letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nikita - nviiri the storyteller

Loading...

[intro]
hapa ndani mta-go crazy (crazy)
oh, mta-go crazy
oh, the storyteller yeah, ayy
so fresh is on the beat

[verse 1]
wasichana wasichana wengi
wanapenda kuniita baby
sijui nani nitampa penzi
how can one man, find it hard to pick one?
[pre-chorus]
oh-oh-oh
nikapata wenye minisketi
hawajui jinsi ya kuketi
wakidhani walisha niseti
i’m like, “no, no, no, girl”
tena kuna maslay queens, zao designer vibeti
lugha swahili ni deadly

[chorus]
alafu kuna, nikita ana thigitha akizitingiza
hapa ndani mta-go crazy (crazy)
oh, mta-go crazy (crazy)
alafu kuna, nikita ana thigitha akizitingiza
hapa ndani mta-go crazy (crazy)
oh, mta-go crazy (crazy)

[instrumental break]

[verse 2]
sol generation oh no
come out and play (come out and play)
lemme see your body move to macarena (ayy macarena waah)
in your way and i’ll be right beside yah
yes, you are my kinda baby oh (baby oh)
[pre-chorus]
oh-oh-oh
nikapata wenye minisketi
hawajui jinsi ya kuketi
wakidhani walisha niseti
i’m likе, “no, no, no, girl”
tena kuna maslay queens, zao designer vibеti
lugha swahili ni deadly

[chorus]
alafu kuna, nikita ana thigitha akizitingiza
hapa ndani mta-go crazy (crazy)
oh, mta-go crazy (crazy)
alafu kuna, nikita ana thigitha akizitingiza
hapa ndani mta-go crazy (crazy)
oh, mta-go crazy (crazy)

[outro]
alafu kuna, nikita ana thigitha akizitingiza
hapa ndani mta-go crazy (crazy)
oh, mta-go crazy (crazy)
alafu kuna, nikita ana thigitha akizitingiza
hapa ndani mta-go crazy (crazy)
oh, mta-go crazy (crazy)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...