letra de kitenge - nviiri the storyteller
[intro]
ooh, ni kama siyuko ready
[verse 1]
nani alinidanganya eti mapenzi huwa simple
ni nani alinidanganya penzi hainanga kilio
nikadanganywa eti maua ndio suluhisho
na niongeze chocolate, bas! hizi vitu hufanyangwa hivyo
[pre-chorus 1]
but then i fell in love, mambo ikakuwa complicated
hii ni hesabu, yes, feeling in love
nimeingia mtihani bila kalamu, eh
i’m not ready
pressure mingi, mi nadedi
oh, i’m going crazy, yeah, yeah
[chorus]
juu sasa ninavalishwa kitenge
tukifanana, penzi ni ya milele
nyoa rasta mzazi akupende
hizi vitu kw-ngu ni crazy
juu sielewi vile kitenge
itafanya penzi iwe milele
na mbona rasta mzazi asipende?
hizi vitu kw-ngu ni crazy
[interlude]
(i’m not rеady, i’m not ready) woooah
ni kama siyuko ready
(i’m not ready, i’m not rеady)
[verse 2]
nimerudi square one
one plus one wacha ibaki one
msinifunze, mi nimesha-learn
napambana na hali yangu kama saddam
basi tusiwa-mind (oh, wale)
tusiwape sikio (oh, wale)
later, baby, we’ll be fine (oh, wale)
tusiwaonyeshe kilio (oh, wale)
[pre-chorus 2]
for those who fall in love
mambo isikuwe complicated kama hesabu
when you’re in love
usijipate mtihani bila kalamu, yeah
if you’re not ready (ready, yeah)
pressure mingi, usidedi (dedi, yeah, yeah)
please don’t go crazy
[chorus]
juu sasa ninavalishwa kitenge
tukifanana, penzi ni ya milele
nyoa rasta mzazi akupende
hizi vitu kw-ngu ni crazy
juu sielewi vile kitenge
itafanya penzi iwe milele
na mbona rasta mzazi asipende?
hizi vitu kw-ngu ni crazy
[interlude]
(i’m not ready, i’m not ready) woooah
ni kama siyuko ready
(i’m not ready, i’m not ready) ni kama siyuko ready
[outro]
nani alinidanganya eti mapenzi huwa simple
ni nani alinidanganya penzi hainanga kilio
letras aleatórias
- letra de maaf kari - garry sidhu
- letra de kenzo - pillson
- letra de azerty - ouais g2
- letra de power rangers 2016 - heux
- letra de sometimes - yung memories
- letra de decisión - ramma
- letra de scummy - vloneskrazy
- letra de hvað með það? - daði freyr
- letra de plain jane - 5racks
- letra de più fuoco - giuann shadai