letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bembeleza - nviiri the storyteller

Loading...

[intro]
nviiri, baby
the storyteller, ayy, ayy, ayy
oh

[verse 1]
it’s been one year down the line
feeling so alive na bebi ukaniseti
that is when you left me
can you sing me a lullaby
to make me sleep at night?
usingizi sina lately, usingizi sina lately
sijui kama ni mchezo aliona
sijui kama hii mateso yatanikoma
sijui kama kesho nitaiona
oh mama

[chorus]
mama, come unibembeleze (bembeleze)
come unitengeneze (tengeneze)
i’m sleeping, i’m sleeping
mama, come unibembeleze (bembeleze)
come unitengeneze (tengeneze)
i’m sleeping, i’m sleeping, oh

[interlude]
(ai, ai, mama)
(ai, ai, mama)
(ai, ai, mama)
[verse 2]
nimelewa asubuhi, hebu ona
moyoni nimekonda
tumbo nahisi kama wanishona
chakula, mpenzi, songa
ninavyohisi mami, si unitibu
nimekuwa wazimu
nayem-miss, hawezi nijibu
nilichomfanyia
ninavyohisi mami, si unitibu
nimekuwa wazimu
nayempenda, hawezi nijibu
nilichomfanyia

[chorus]
mama, come unibembeleze (bembeleze)
come unitengeneze (tengeneze)
i’m sleeping, i’m sleeping
mama, come unibembeleze (bembeleze)
come unitengeneze (tengeneze)
i’m sleeping, i’m sleeping, oh

[interlude]
woooah, woah
(ahh)
(mama, come unibembeleze)
(mama, come unibembeleze)
(mama, come unibembeleze)
(mama, come unibembeleze)
(ahh)
(mama, come unibembeleze)
(mama, come unibembeleze)
(mama, come unibembeleze)
[bridge]
(nibembeleze) mweleze arudi
(nitengeneze) mweleze nyumbani, yeah
eh, yeah (nibembeleze) mweleze arudi
(nitengeneze) mweleze nyumbani, yeah

[outro]
(ai, ai, mama)
(mama, come unibembeleze)
(ai, ai, mama)
(mama, come unibembeleze)
(ai, ai, mama)
(mama, come unibembeleze)
(mama, come unibembeleze)
(ai, ai, mama)
(mama, come unibembeleze)
(ai, ai, mama)
(mama, come unibembeleze)
(ai, ai, mama)
(mama, come unibembeleze)
(mama, come unibembeleze)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...