letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de titties - nuffa manu23

Loading...

[intro]
ah iko tu sawa
iko…iko prepared
uh!
ha!
you know
i know that you know
why lie?
(freeway republic)
uh

[verse 1]
last name “ever”
first “most beautiful”
uki_touch scene unawak!ll kaa funeral
ma ukona fire (fire)
ma u got that fire (fire)
buh unafaa ku_change vile unaangalia mirror though, (eyy)
forced miracles hazidai
sijakuona for a minute so niko surprised
zilikuwa brown unataka blue eyes
ulikuwa mblack but saii…
acha tu
si ati i’m here to laugh at you
niku_confirm kaa uko comfortable
under hizo cover zote
imekuwa…. to judge the book
another look at you napata work of art
8/10 enyewe sir god ni msmart
ju kaa ukona sura fiti
hauna meno fiti
kaa ukona meno fiti
kucha za mguu ni za maiti
kaa kucha ziko fiti utakuwa na insecurity ju ya kitu ingine but mi naona uko fiti
i still

[chorus]

[verse 2]
usi_change (never)
mami usi_change (nah)
you’re the best side of “you”
tafadhali usi_change
ati!
usi_change
mami usi_change (never)
weh ni mrembo from my view
achana na reviews strange
uko fiti vile uko
ma_oriji in demand
toa plastiki kwenye uso
and you’ll find a better man
maybe saii hauezi get, maybe one day u will know…
…” real is not perfect and perfect is never real”
i still

[chorus]

yeah na nimekudedi nikidedi nitaeka kwa will, i still!

[outro]
1,2,3
two three

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...