letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bye bye - nonini

Loading...

[intro]
checki it out (border to border) east africa
border to border…

mabinti na mabwana
tuna cheza border to border
wanacheza border to border
tuna cheza border to border
kenya tz mziki inagonga

[chorus]
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)

bye bye bye, bye bye
(bye bye bye)
bye bye bye, bye bye
(aaaa)
bye bye bye bye bye
(bye bye bye) bbbabbba bye bye
bye bye bye
bye bye
(aaaa) bye bye

napenda vile wasonga
hii mdundo vle inagonga
vile ukishika ukisonga na ngoma
ni noma design ya msondo ngoma
uli umbwa saa k-mi na moja
mapema ndo ulipigwa order
sahi unatesa border border
natural sura hupaki poda
mziki unachezeshwa jukwaaah
hio figure mummy ina kufaaah
number yako na piga adi border
me nikipiga safaricom mbonga

[chorus]
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)

bye bye bye, bye bye
(bye bye bye)
bye bye bye, bye bye
(aaaa)
bye bye bye
bye bye
(bye bye bye) bbbabbba bye bye
bye bye bye
bye bye
(aaaa) bye bye

jina mpya skuizi unaitwa bae
yako ngapi twende kwenye way
maisha ishakua nani amefika bei
hatulipi hela mziki ndo ina pay
kafunga kanga moja kapita sebuleni
naskia k-m cheki na changanya wageni
toto fedhulu leo nakwama nae
hepe miaka k-mi bado napita nae
aah ikiwekwa genge juu kwani cheza nae
aah akitaka twende pembeni najificha nae

[chorus]
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)

bye bye bye, bye bye
(bye bye bye)
bye bye bye, bye bye
(aaaa)
bye bye bye
bye bye
(bye bye bye) bbbabbba bye bye
bye bye bye bye bye
(aaaa) bye bye

jinsi tuna imba
watu watupenda
tunaimba watu wana cheza
tume kamata tanzania
tume kamata na kenya
kamata watoto
mabinti na mabwana
tuna cheza border to border
wanacheza border to border
tuna cheza border to border
kenya tz mziki inagonga

[chorus]
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)
ikipigwa dumba uwanjani
nacheza nawe (nacheza nawe)
akitaka twende kabuni
na kwenda nawe (nakwenda nawe)

bye bye bye, bye bye
(bye bye bye) bye bye bye
bye bye (aaaa)
bye bye bye
bye bye
(bye bye bye) bbbabbba bye bye
bye bye bye
bye bye (aaaa) bye bye
bye bye bye
bye bye (bye bye bye)
bye bye bye
bye bye (aaaa)
bye bye bye
bye bye
(bye bye bye) bbbabbba bye bye
bye bye bye
bye bye
(aaaah)bbbabbba bye bye

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...