letra de michepuko - nikki mbishi
intro:
yea, michepuko
ngwessa
(huh) kinyee, zohaan
yea, unju bin unuki
[verse i: nikki mbishi]
huwa nasikiasikia tu
eti niache michepuko na milupo ili nibaki njia kuu
napenda nitulie ndani ya ndoa
nihudumie familia watoto wajisikie poa
ila, mke w-ngu ndiye kikwazo
kila ukizuka ugomvi basi ujue yeye ndiyo chanzo
washikaji wananiita bwege hamnazo
mademu kibao, kwanini mmoja anitie mawazo
kila siku napiga magoti
nyumbani ka vitani, huyu mke au field force?
maana makofi nayo naswa ni kiboko
tena mbaya zaidi napigwa mbele ya watoto
siwezi kuongea neno moja
maana ashajazwa umbea, na wambea ni mashoga
basi atafura, mezani siachiwi hata chakula
kulala mzungu wa nne amekunja sura
asubuhi mida ya kwenda kazini
hapigi pasi, haniwekei maji huwezi kuamini
namtazama simmalizi
mpaka najiuliza nani ananipa script kwenye drama kama hizi
najiuliza mi ni mume au mlinzi?
maana usiku kucha nakesha ka’ jinamizi
hajawahi nifanyia fumanizi
na kila nikiondoka namwachia pesa ya matumizi
[hook: kinye wynjones]
tusilaumiwe tu kuchepuka, nimelazimika, jogoo kuwika tu
kwenye kila ovu kuna force(noma)
tusilaumiwe tu kuchepuka, nimelazimika, jogoo kuwika tu
kwenye kila ovu kuna force, noma
[verse ii: nikki mbishi]
(yea) na ndio maana naona bora kuchill
na malaya kwenye club, labda watanifeel
stress anazonipa mke w-ngu zitanik!ll
ingawa nampenda sana, yea nampenda for real
utanikuta corner bar, mezani nyama choma imezagaa
pembeni nimezongwa na vifaa
bila hofu, mif-ko wananichuna
pedeshee nikki, michepuko ni sunna
siku hizi imeshakuwa kasumba
ndoa kuvunjika, uhusiano wa mapenzi kuyumba
mpenzi wako akikuita special, jua kuna mtumba
uchawi pesa, hakuna cha tunguli wala ndumba
mfatilie demu wako upate bp
kazi tunayo sisi magazeti na tv
mwanamke haridhiki, sa sijui anataka nimpe kipi
ama, anataka nimpe kiti
kwenye moyo anikae nijae
niishi naye, kama juzi, sasa mpaka baadae
nje ya ndoa siende kwa makusudi
ila mke w-ngu amezidisha mauudhi
j-po nabugi, lakini sina budi
jogoo w-ngu anawika na panga langu si dubi
kwanini na chepuka na ulevi?
miaka mingi imepita, mpenzi w-ngu hajawahi kuniita baby
(and i real miss that, real miss that)
(eh, hayo ndio mapenzi au sio, lets go)
[hook: kinye wynjones]
tusilaumiwe tu kuchepuka, nimelazimika, jogoo kuwika tu
kwenye kila ovu kuna force (noma)
tusilaumiwe tu kuchepuka, nimelazimika, jogoo kuwika tu
kwenye kila ovu kuna force, noma
tusilaumiwe tu kuchepuka, nimelazimika, jogoo kuwika tu
kwenye kila ovu kuna force (noma)
tusilaumiwe tu kuchepuka, nimelazimika, jogoo kuwika tu
kwenye kila ovu kuna force, noma
letras aleatórias
- letra de большие разговоры (big talk) - budsoboy
- letra de tugo, tugo - kemal malovčić
- letra de rose 2 - chasnu
- letra de all smoke must find its way home - packwood
- letra de bubblegum - xixhub
- letra de who hurt you? - benicio bryant
- letra de ayo! - hubithekid
- letra de özləmindən dərin - morgion
- letra de 7-11 - the postmarks
- letra de lifestyle - roxas