letra de war kitaa - ngwair
[intro]
cowbama
cowbama
cowbama
woo!
ha, ni cowbama
ba-babuu wa kitaa
yeah, marco-chali
m.j. baby
holla
cowbama
cowbama
cowbama
yeah, ch-ch-, yeah, hey, hey i mean
[chorus]
[drop]
[verse 1: ngwair]
yo, sim-simmer ‘huu sio muziki wa kupima
who am i? ‘jembe, nalima
kitu gani sina? (uh-huh, yeah)
vocal au vina? (uh-huh)
jina?, hata heshima, sio beamer
mi na hasira ila nime chill out (what?)
ndoto zangu kuja kuishi kwenye villa, ‘ila
kuna wajinga ndio wanataka eti k-mshusha huyu mr (cowboy)
hawajui cowbama ndio surname ya freestyle (haha)
sa vipi watoto wadogo wanataka kupima hizi level?
nawak-mbusha “please don’t —- with the devil
[walio (?) remix, n-gga ni rap]
hata mungu anaweza abudiwa kwa hip-hop
mbona haiuzi?, kivipi isiniuze (uh-huh)
mi nakaza nyuzi (yeah)
wewe kama haikulipi, ni mpuuzi
na east zoo wanaamini king ndio mimi
nnaye wafanya waka-dance kwenye hall ka (?)
a.k.a mimi
(ngwair)
[chorus: drop]
cowbama
wa kitaa
marco-chali, m.j
freaky
[verse 2: babuu]
full ma-d-ckies, ma-converse
ma-khaki, haunitaki, mimi ni gangster haunikuti mchafu
full niko smart, nime nyuti
mitaa ya kati, mi nausaka mnoti
haunikuti nime-ceasе, muda wote macho wazi
natokea uswazi, so usiniletе makuzi
mi ni gangster, n-gga
ila mpole kama twiga
kama unajifanya umepinda, unaiga
mi nakuona mbwiga, wewe uta-dead
kwenye beach kama long, mwisho wa club, tuna bang
bang!
nanoga kwa sana, sina usiku wala mchana
kichwani ma-bandana kama juelz santana
nawakilisha kwa sana na ndio maana mi nachana
ile ki-gangster
mwana, wanadata hadi wasichana
magumashi yanaendelea kitaani, babu mi ndio meya
mperampera na mamwela kitaani ninapo tokea
what?
mi ni gangster, n-gga
[chorus]
[verse 3: ngwair]
ka we ni snitch basi kmamaako ‘kaa mbali
haters juu ya beat ya marco nawaacha chali
wanatupimia hapa nasi tushajiona mbali
kama un-z-ma kwa bapa, basi usiwape misumari
studio kama kwa jay (uh-huh)
daily niko salama
ku-hustle ni everyday, kesho zaidi ya jana
ni ngwair wa east zoo na babuu wa kitaa
yeah (?) dupper zaidi ya mastaa
ndani ya jiji la dar, ndio tunavyoishi
[haina bwebwe] nakushangaa, ndio zetu wabishi
hatakama hatuna cash, fresh
mpango wa kuwaka (?) sio deni, sio kesi
[chorus]
[outro: drop]
letras aleatórias
- letra de una leyenda - julio iglesias
- letra de never gonna give it up - jaimi faulkner
- letra de good thing - bremmy
- letra de for real? - nitneq
- letra de che f¥ga - warez
- letra de bedroom - valley queen
- letra de deconstruction - zaveyt
- letra de czegóż chcą ludzie ci - edyta geppert
- letra de brothers - young boys (xnx)
- letra de l'amore che io sento - marcella bella