letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de napokea simu - ngwair

Loading...

[intro: ngwair]
ayo, ni p kwenye line
hakuna noma, ‘bongo records tuna-shine
ayo, ni ngwair kwenye line
hakuna noma, ‘east zoo tuna-shine
ayo, ni p kwenye line
hakuna noma, ‘bongo records tuna-shine
ayo, ni ngwair kwenye line
hakuna noma, ‘east zoo tuna-shine

[chorus: dully sykes]
ring-ring, kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey yeah
ring-ring, kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey yeah

[verse 1: ngwair]
(?) toa simu kwenye chaji
nakuta meseji zisizo na idadi
bado nyingine zinaingia mfululizo
natoka zangu nje, naamka kuachana nazo
(mmm)
kurudi ghetto nakuta missed calls, [tеxt] ya khadija na nyingine ya nicole (yeah, yеah, yeah)
sekunde nne napokea simu ingine
demu w-ngu wa temeke anataka tuonane
ghafla tena napokea simu ya p
nae anataka ufike studio saa nane
ile nakata, nyingine inaita
steve b anasema tuna interview saa sita
ghafla tena napokea simu ya sista, maza mgonjwa (?) ananiita
mtu ana beep, kucheki ni promoter
naamka kuzima simu kwani chaji imeshakwisha
[chorus: dully sykes]
ring-ring, kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey yeah
ring-ring, kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey yeah

[verse 2]
ghetto langu tu ‘linalo wachengua ma-doo
sio k’nyama tu mpaka east zoo
napata simu nyingi za ma-doo wa chuo kikuu
night napokea simu nyingi za majuu
hey, napata simu ya sista-doo simfahamu (hey)
eti anadai anataka tuwe wapenzi (yeah, yeah)
kabla sijamjibu kwanza nina tabasamu
hapo hapo napokea simu nyingine kutoka zenji
wanadai nikafanye shoo ‘alhamisi
niende mimi na p bila ku-miss
tunaelewana ntapataje advance
demu w-ngu wa arusha nae anapiga, anani-miss
phonebook majina ni v.i.p. (oh)
mengi ni milupo pamoja na wasanii (oh)
kama namba siijui huwa nakosa raha
(?) najua ka kimeo ukipokea ni balaa
ndio maana huwa napenda kuzima simu
ila machizi w-ngu wote wanafahamu
wakikuta buzz ipo kwenye voicemail, wanajua namba gani watanipata celtel

[chorus: dully sykes]
ring-ring, kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey yeah
ring-ring, kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey yeah

[outro: ngwair & dully sykes ]
haha, yeah
ngwair, bongo records
vichwa vya kufa mtu
habaatishi kitu mtu hapa, mtaumia, hahaha
aah…
yeah, east zoo, [g yard], holla
ring-ring, kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey, hey
kila saa napokea simu
zinavyo ingia kwa fujo mpaka napata wazimu
ring-ring, na zinatoka kila sehemu
nyingine za machizi na nyingine za mademu, hey, hey

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...