letra de they know - neshry trapan
(chorus – neshry trapan)
maze nimekuwa nikichill
kejani nacheki the ceiling
kuna siku ntashika mamili
lakini bro io siku ni lini
embakasi they know iko nini
ipo siku watajua ni mimi
kusafisha you know that im cleaning
mistari my guy si kiki
(verse 1 – neshry trapan)
itafikanga base si shikiki
wanataka madem kama nicki
usitry ka bei hufiki
na skuizi me huwa sifichi ka sikupendi maze nadiliti
ma arif walipungua but niko chonjo naskia niko fiti
me huskiza ma rapper wakirap…. nothing but pity
nairobi has been the city leta ufala utapigwa kimiti
nishaijiita ki meeting nikaamua ka si doh iko tricky
stakangi mambo mingi me huwa sipendi madrama ya bibi
kikahush ntafika a milli
shout out the boy hes making a k!lling
(chorus – neshry trapan)
maze nimekuwa nikichill
kejani nacheki the ceiling
kuna siku ntashika mamili
lakini bro io siku ni lini
embakasi they know iko nini
ipo siku watajua ni mimi
kusafisha you know that im cleaning
mistari my guy si kiki
(verse 2 – davie jones)
embakasi to dago what up
yea we taking over the industry buda usidhani nimeleta jokes
it really goes harder when neshry is up on the track with the davie jones
the one and only yea you know
kickin it utadhani judo
back on the track i’m better than before
no taking ls, i’m numero uno
verse za bure tulisare you know
that gwala for features is all that we wrote
it’s all that we know
collabo matata like never before
raising the ceiling you guys on the floor
they hate coz i’m better lemmy be the foe
(chorus – neshry trapan)
maze nimekuwa nikichill
kejani nacheki the ceiling
kuna siku ntashika mamili
lakini bro io siku ni lini
embakasi they know iko nini
ipo siku watajua ni mimi
kusafisha you know that im cleaning
mistari my guy si kiki
letras aleatórias
- letra de maple rock - big mac
- letra de life is crazy freestyle - matthew maxi
- letra de sweet jesus - ruth
- letra de book of love - fraser a. gorman
- letra de something stupid - steve tyrell,lauryn tyrell
- letra de guens - guens
- letra de oração - mumuzinho
- letra de soylent silver - golden era records
- letra de ode to insanity - gamemast15r
- letra de esperança cansa - karina buhr