
letra de mara ya mwisho - ndung'u mbithi
Loading...
[verse 1]
sikujua ilikua mara ya mwisho
kukuona
mara ya mwisho
kuonana
ningejua ningekuk-mbatia zaidi
mara ya mwisho
juzi niipitia ma area
tulizokua tukuienda
pamoja
nalia moyoni kwani
sikujua ilikua
mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
-phone ringing-
[verse 2]
ulienda bila onyo
haukusema hautarudi
ulienda bila kusema ya kwamba
ni mara ya mwisho
[chorus]
[instruemental]
-crying-
“the person you have called is not reachable. we will notify you when the mobile subscriber is back. if you wish to leave a voice message then please do so after the tone.”
letras aleatórias
- letra de plush - dua saleh
- letra de apri - ernia
- letra de medea’s guidance - bloodhunter
- letra de sadist - سادي - ziyad0
- letra de scars (the monster) - expectations
- letra de news of the world - lady silver
- letra de un prieten bun - voltaj
- letra de lay it down - refresh worship
- letra de lilane träume - oli39
- letra de hedon - sub urban