letra de mahaba yatatuua - ndung'u mbithi
Loading...
[intro: ashley kitonga]
siri
yatatuua
si siri
yatatuua
[verse 1: ndung’u mbithi]
usipokua
karibu
siezi pumua
naaga
nafariki
oh nakufa
nalia
usipokua
usipokua
mahaba yatatuua
oh mahaba
oh mahaba, mahaba, mahaba
[verse 2: ndung’u mbithi]
nilikazana na mawazo ya kutengana
umenifanya nihisi tena
nilikazana kuhepa mapenzi
nikang’ang’ana kujifanya
siwezi penda, lakini bana nakupenda
sitadanganya tena
na ukisema hautaenda na mwingine
nitakupenda hadi mahaba itumalize
na nitafanya unachotaka
ulinifanya niwe mnyonge na sina haha na mwingine
ukijifanya huezi penda, nitakazana kukuonyesha mapenzi
karibia nikueleze
naumia
naumia
mapenzi yatatumaliza
oh mapenzi
mahaba yatatuua
oh mahaba, mahaba, mahaba
letras aleatórias
- letra de amigos e amigos - x e japão
- letra de água na boca - bia krieger
- letra de eu (yo) - duduca e dalvan
- letra de killing machine - dark army
- letra de filme de terror - nega gizza
- letra de você me enlouquece - klan 190
- letra de chamamé missioneiro - daniel torres
- letra de piranha do banheiro - baby marcelo
- letra de para de fazer isso comigo - eder miguel
- letra de les souliers de lady fae - naheulband