letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de amua leo - nduati

Loading...

[intro]
nduati: haya! habari ya leo?
response: njema
nduati: basi jina langu ni nduati na mimi leo nitakuwa mwalimu wenu
basi somo la leo hili, si somo sana la kiswahili, si somo sanasana la dini, ila ni somi la kimaisha
mko tayari lakini?
response: naaaaam

[verse 1]
achana na wahenga (waambie)
ati haba na haba hujaza kibaba
unafaa kusikia ya yesu
haba na haba ilijaza wababa elfu tano
achana na wahenga
kidole kimoja hakivunji chawa (sawa)
unafaa kusikia ya yesu
neno moja; kila kitu inafanywa sawa
hapo mmelearn nini?
yesu ananijali mimi
yeye ako na nguvu zaidi
na hizo nguvu zitanifaidi
yesu ndio kusema nani anaweza finya mute?
na akishasema nani anaweza refute?
so acha yesu awe ile tune unaskiza
zile maneno huleta nuru kwa giza

[hook]
utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
sema utamskiza nani wewe?
amua leo! ha! ha! amua leo
utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
ah! wee… utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo

[verse 2]
achana na wahenga (waambie)
ati aliye juu mgonje chini
unafaa kusikia ya yesu
akishakuinua hakuna aweza kuweka chini
achana na wahenga
mtaka cha mvunguni sharti ainame
unafaa kusikia ya yesu
mtaka cha mbinguni ni rahisi sharti aamini
hapo mmelearn nini?
yesu ananidhamini
kazi tu ni kuamini na mbinguni ni nyumbani salama salmini
yesu ndio kusema nani anaweza finya mute?
na akishasema nani anaweza refute?
so acha yesu awe ile tune unaskiza
zile maneno huleta nuru kwa giza

[hook]
utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
sema utamskiza nani wewe?
amua leo! ha! ha! amua leo
utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
ah! wee… utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo

[verse 3]
so, wahenga ni wengi
but yesu ndiye mhenga mkuu (waambie)
ye ndio usipomskiza
buda! utavunjika guu
kwa hivyo skiza tu za yesu
zingine za dunia hazifai
(for example) hakuna vile nitaskiza nyongwa na mungu ashasema ananipa uhai
irony ni that wanaitwa the kansoul
but hizo ndizo counsel tunafaa kucancel
alafu tunakimbilia neno la bwana mbio sana ni kama nyuma kuna (kanjo) city council
nani anaweza finya mute?
nani anaweza refute?
so acha yesu awe ile tune unaskiza
zile maneno huleta nuru kwa giza

[hook]
utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
sema utamskiza nani wewe?
amua leo! ha! ha! amua leo
utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
ah! wee… utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo

utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
sema utamskiza nani wewe?
amua leo! ha! ha! amua leo
utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo
ah! wee… utaskiza nani?
amua leo! ha! ha! amua leo

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...