letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mapenzi au pesa - nay wa mitego

Loading...

[intro: nay wa mitego & diamond platnumz]
(iye) haya we
(iye) haya, haya we… (iye)
(haya we…)
(iye) haya we
(iye) haya, haya we… (iye)
(haya we)
(iye) haya we
(iye) haya, haya we… (iye)
(haya we…)
(iye) haya we
(iye) haya, haya we…
[chorus: nay wa mitego & diamond platnumz]
siku hizi mapenzi pesa
wasikudanganye
mapenzi kupeti bwana
we watakucheka
na juhudi uifanye
sio tu kuvavanya
ah, mapenzi pesa
wasikudanganye
ni kupeti bwana
we watakucheka
na juhudi uifanye
sio tu kuvavanya

[verse 1: diamond platnumz, nay wa mitego, ]
ehn
kama mapenzi shilingi (uh huh)
mi nimetoa hadi murano nikakimbiwa (okay)
vijonjo vingii (uh huh)
nau dangote n’lonao nikakaziwa
we ukitoa murano mwenzako anatoa
mapenzi ni mchezo
pеsa mbele ndo
kiulaini tu kama zenji
si umeasikia kunamvi
aunt kwa moze alivyotulia
bila hata chomvi
na mtoto kabisa akamzalia
si unak-mbuka ya wolper? (ah, wapi)
dallas kuchoka (saa ngapi)
si akaondoka, oh…
tatizo unasikiliza sana magazeti
[chorus: nay wa mitego & diamond platnumz]
siku hizi mapenzi pesa
wasikudanganye
mapenzi kupeti bwana
we watakucheka
na juhudi uifanye
sio tu kuvavanya
ah, mapenzi pesa
wasikudanganye
ni kupeti bwana
we watakucheka
na juhudi uifanye
sio tu kuvavanya

[verse 2: nay wa mitego & diamond platnumz]
si unak-mbuka kipindi kile
we unatoka na nenda kamwambie
walisema una bonge la domo
eti leo handsome si mtonyo?
saa ndo maneno gani?
ah ah, ehn
kabla hujafa hujaumbika
usimuudhi molana
tena usiombe yakakufika
ya juzi sio jana
na bora nienda zangu maana
maneno yamekuishia
nisije kuongea mwanangu mwishowe ukaja niharibia
hata huyo zari asingekupenda usingekua diamond
(ah, ziache dharau)
usinidanganye kilitamu (mi unanidharau)
unatetea mapenzi umerogwa?
mapenzi bila pesa si ushoga?
tai
ah, le le le le
nasikia mbuzi kala mukeka
binti kaenda kwao (le le le)
eti mafundi wamemuteka
kakuachia mwanao
sa nahisi unakosa adabu (ah, unanionea)
huna ustaarabu (mbona yangu unayaongea)
na n’takupa adhabu, oh…
tatizo kitu kidogo mpaka tugombane…
[chorus: nay wa mitego & diamond platnumz]
siku hizi mapenzi pesa
wasikudanganye
mapenzi kupeti bwana
we watakucheka
na juhudi uifanye
sio tu kuvavanya
ah, mapenzi pesa
wasikudanganye
ni kupeti bwana
we watakucheka
na juhudi uifanye
sio tu kuvavanya

[refrain: nay wa mitego & ]
(ha ha)
haya we
haya, haya we… (haya we…)
haya we
haya, haya we…
haya we
haya, haya we… (haya we…)
haya we
haya, haya we…
haya we
haya, haya we… (haya we…)
haya we
haya, haya we…

[break: diamond platnumz, nay wa mitego, ]
kisa musa
t. touch
kisa musa
ah
kisa musa
t. touch
kisa musa
ah
eh eh, eh eh
haya we
haya, haya we… (iye)
eh eh, eh eh
haya we
haya, haya we… (iye)
eh eh, eh eh
haya we

[outro: nay wa mitego & diamond platnumz]
basi baba basi, eh
basi
mpe nyonyo

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...