letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de makorokocho - nay wa mitego

Loading...

nina makorokocho kama kibanda umizwa
aaaaa we kibanda umiza, ukitaka kwenda nje nakugongenga visaa
aaaaa we una visa, aya we ebwana ee kamedata na msela
hakitaki mapedeshe umwagile umwanae
kwenye mpapai nimeokota kaembe
round hii wataomba poo na mapenzi naongeza
wakiongea shombo wewe wajibu kingereza
nyie nyie huku ni hatari
mtoto kaficha waiti bonge la ajali (nimekwama)
ananita baby (baby)
ananita baby (baby)
chips yai zegee (jamani zege)
chips yai zegee (jamani zege)
mtoto jicho kama anakulaga kungu (eee anakulaga kungu)
kiuno chembaba bonge la shundu (eee bonge la shundu)
walai na faidi mpaka wivu najionea mwenye mi naogopa
nafaidii hata akiangusha sitaki atеseke mi naokota
akitembеa kama anangusha madodo
aina gani dodo
laini laini rojo
hai na kufa roho
nyie nyie huku ni hatari
mtoto kaficha waiti bonge la ajali (nimekwama)
ananita baby (baby)
ananita baby (baby)
chips yai zegee (jamani zege)
chips yai zegee (jamani zege)
round hii wataomba poo na mapenzi naongeza
wakiongea shombo wewe wajibu kingereza
nyie nyie huku ni hatari
mtoto kaficha waiti bonge la ajali (nimekwama)
ananita baby (baby)
ananita baby (baby)
chips yai zegee (jamani zege)
chips yai zegee (jamani zege)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...