letra de tanzania national anthem - national anthems
Loading...
1.
mungu ibariki africa
wabariki viongozi wake
hekima umoja na
amani hizi ni ngao zetu
afrika na watu wake.
chorus:
ibariki afrika
ibariki afrika
tubariki watoto wa afrika.
2.
mungu ibariki tanzania
dumisha uhuru na umoja
wake kwa waume na watoto
mungu ibariki tanzania na watu wake.
chorus:
ibariki tanzania
ibariki tanzania
tubariki watoto wa tanzania.
sent by carlos andré pereira da silva branco
letras aleatórias
- letra de kämpfergeist* ( snippet ) - unikat 9857
- letra de please, avoid scuffing my dancing shoes, thank you - dropping a popped locket
- letra de ctakan - les alchimistes
- letra de calolzio - bancale
- letra de black blood: inferno - manuscript alli
- letra de marte - the durban
- letra de arizona - koi
- letra de never my love - mercy (band)
- letra de kill my pain - ramandhika
- letra de mēs atnāksim, mēs mīlēsim - bbp zvaigžņu koris