letra de kenya native anthem text - national anthem
Loading...
kiswahili
(verse:1)
ee mungu nguvu yetu
ilete baraka kwetu
haki iwe ngao na mlinzi
natukae na udugu
amani na uhuru
raha tupate na ustawi.
(verse:2)
amkeni ndugu zetu
tufanye sote bidii
nasi tujitoe kwa nguvu
nchi yetu ya kenya
tunayoipenda
tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
natujenge taifa letu
ee, ndio wajibu wetu
kenya istahili heshima
tuungane mikono
pamoja kazini
kila siku tuwe na shukrani
sent by carlos andré pereira da silva branco
letras aleatórias
- letra de kc rebell & solitaire - gänsehaut (remix) - chilli vanilli
- letra de q&a recital (romanized) - 戸松遥 (haruka tomatsu)
- letra de a thousand needles - iris.exe
- letra de feeling - bryan mg & architrackz
- letra de shiny - king dcn
- letra de home (fenner remix version) - yezi
- letra de #nerd-out - wintercastle
- letra de sorry for being late - rené miller
- letra de ring of fire- eruption song - mr. parr
- letra de falling for you - remiri