![letras.top](https://letras.top/files/logo.png)
letra de mlete - nandy
[intro]
zombi akipiga ka hapigi tena
african princess
s2kizzy baby
[verse 1]
eti hana kitu mimi ndo nishapendana naye
hajui kuva ila mimi ndo natoka naye
sio mzuri sana ila mi ndo naendana naye
si ananifa ndo mana nadunda naye
[hook]
we kama una wako
mlete
kama unahisi anamzidi wa kw-ngu
mlete
kama una chuma chako
kilete
kama unahisi kin-z-di cha kw-ngu
kilete
hahaha
[chorus]
kama una baby wako
mwite mwite
tumthaminishe
mwite mwite
basi post tumuone
mwite mwite
tumpambanishe
mwite mwite
[hook]
we kama una wako
mlete
kama unahisi anamzidi wa kw-ngu
mlete
kama una chuma chako
kilete
kama unahisi kin-z-di cha kw-ngu
kilete
[verse 2]
hodi hodi
shemeji record
zombi mwenyewe ndo kapiga ma code
hodi hodi
shemeji record
zombi mwenyewe ndo kapiga ma code
oya oya
oya oya
mi na maanko sina anko boya boya
oya oya
oya oya
mi na maanko sina anko boya boya
[hook]
we kama una wako
mlete
kama unahisi anamzidi wa kw-ngu
mlete
kama una chuma chako
kilete
kama unahisi kin-z-di cha kw-ngu
kilete
hahaha
[chorus]
kama una baby wako
mwite mwite
tumthaminishe
mwite mwite
basi post tumuone
mwite mwite
tumpambanishe
mwite mwite
[hook]
we kama una wako
mlete
kama unahisi anamzidi wa kw-ngu
mlete
kama una chuma chako
kilete
kama unahisi kin-z-di cha kw-ngu
kilete
letras aleatórias
- letra de девушки (girls) - skelet
- letra de dekha tujhe toh - abi angelos
- letra de pevaću ti tužnu pesmu - šeki turković
- letra de tu - dannii (prt)
- letra de hang on to yourself (early demo) - david bowie
- letra de dio como ti amo - nora aunor
- letra de goth - lil x21
- letra de canción cristiana - isla de patmos
- letra de jammers - 187 collective
- letra de anti-hero complex - yungicyy