
letra de hazipo - nandy
yeah aah aah aahaah mmh
uzuri wako mashallah na macho yako ndo balaa
sauti yako noma sana na mwendo wako ndo balaa
ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
me hazipo
hazipo
kwajili yako mwenzio me hazipo baba
hazipo
akili me hazipo bwana
hazipo
kwajili yako mwenzio me hazipo baba
hazipo
ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye
stimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah
sijitamani nifikirie sana aaaah
usinipe maruani me moyo utaamaa na mashetani yanapenda kwa manaa aaah
ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
me hazipo
hazipo
kwajili yako mwenzio me hazipo baba
hazipo
akili me hazipo bwana
hazipo
kwajili yako mwenzio me hazipo baba
hazipo
takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
penzi la supu baba ukieka n-z- hatari mzigo
takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
penzi la supu baba ukieka n-z- hatari mzigo
jaribu kuwa smart nipe mahabati tu j-po kidogo
oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo
mwenzio mie hazipo
hazipo
kwajili yako mwenzio me hazipo baba
hazipo
akili me hazipo bwana
hazipo
kwajili yako mwenzio me hazipo baba
hazipo ooh yeah
hazipo ooh yeah
hazipo ooh oh wee
letras aleatórias
- letra de everytime [the living end] - hüsker dü
- letra de get at me - the main squeeze
- letra de topless - blake harlow
- letra de tropical - lil mylz
- letra de time [live at wembley 1974] - pink floyd
- letra de the streamlined cannonball - hank snow
- letra de aglomeração a 2 - gabriel, o pensador
- letra de around the world - .qabriel
- letra de mentions - cuzzxo
- letra de stings - king blitz