letra de do me - nandy
[verse 1 : nandy]
chocolate kalambaje?
na hata sielewi kanipata pata
kwani kanipata aje
ameniweza weza nimenata nata
kwa penzi nakupenda
na nashindwa kukukataa
ndo ujinga huo
umeniweza weza
umenipa limbwata
ndo nini hivyo
ukinipata penzi basi pia zima data
ndo chips hizo
na vinyama nyama pilipili washa
ndo tamu hivo
[chorus : nandy]
baby walahi
do me, do me, do me
do me, do me, do me
naandaa kiberiti niwashe moto
baba leta ukuni
do me, do me, do me (do me aii)
do me, do me, do me (do me aii)
naandaa kiberiti niwashe moto
baba leta ukuni (do me aii)
[verse 2 : billnass]
nafikiri uliumbwa
kwa ajili yangu mahususi
na kila nikikutazama
nafaa nifikirie harusi
nafiki kutumia shela
nafikiri kuhusu suti
sifikirii kutumia kinga
hata waseme una virusi
viuno vingi kama christian bella
peace ya msela
african princess na ndela
hata warika na mapunga waje kula mchele
si wanatoa siri za nyuma twawapa siti za mbele
mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
nisamehe kama napokwona sio
mapigo ya moyo mama yanakwenda mbio
nisamehe kama napokwona sio
vile kata, kata ukapinda mgongo
uliposema tangu ukawachanganya wabongo
vile sikupakii mkenya wala sikupakii mcongo
labda arushe matofali maana nishazoea madongo
[chorus : nandy]
do me, do me, do me (do me aii)
do me, do me, do me (do me aii)
naandaa kiberiti niwashe moto
baba leta ukuni (do me aii)
do me, do me, do me (do me aii)
do me, do me, do me (do me aii)
naandaa kiberiti niwashe moto
baba leta ukuni (do me aii)
letras aleatórias
- letra de im ebersberger forst - waldgeflüster
- letra de молодёжь! (young people!) - рэмшейн (remschein)
- letra de the snake king - rick springfield
- letra de redemption freestyle - mark battles
- letra de conceited - ricci paolo
- letra de chase the wind - tiffany hulse
- letra de devant - erza muqoli
- letra de back again - g-low (rap artist)
- letra de s.p.c - robert sweater
- letra de guateque - samantha hudson