letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de asante - nandy

Loading...

[verse 1]
kwenye mapito nitetee
nishike nivushe
ya dunia mazito baba
usiache yanilemee
faraja yangu i kwako
usinishushe nipandishe
ya dunia mazito baba ee

[pre chorus]
hata ninapokosea, we huna hasira
unasamehe makosa yangu
eh, eh aah, n-z-ona zako fadhila
umenitendea, umekuwa upande w-ngu

[chorus]
wewe ni nuru (nuru) wewe ni maji (maji)
wewe ni uzima (uzima) nashukuru umenitendea mema
wewe ni nuru (nuru) wewe ni maji (maji)
wewe ni uzima (uzima) nashukuru umenitendea mema

[bridge]
asante jehovah
asante jehovah
asante jehovah
[verse 2]
nyakati za shida, wakati wa vita
uliniwaza toka mwanzoni
wakanena mabaya wakanipaka za ubaya
ulinivusha nisiaibike

[pre chorus]
hata ninapokosea, we huna hasira
unasamehe makosa yangu
eh, eh aah, n-z-ona zako fadhila
umenitendea, umekuwa upande w-ngu

[chorus]
wewe ni nuru (nuru) wewe ni maji (maji)
wewe ni uzima (uzima) nashukuru umenitendea mema
wewe ni nuru (nuru) wewe ni maji (maji)
wewe ni uzima (uzima) nashukuru umenitendea mema

[outro]
wasema nami, wasema nami bwana wasema nami
nyakati za shida hujanichoka, umekuwa mwema kw-ngu
wasema nami, wasema nami bwana wasema nami
makati wa shida hujanichoka, umekuwa mwema kw-ngu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...