letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mapenzi - naliani

Loading...

mpenzi w-ngu najua unanipenda na mimi nakupenda pia nimekuja kugundua bebbie ur cheating on me nani huyu unaita jonte anasema tupatane after kesha na ninani huyu ume save kama hardware anauliza utakuja lini na kuna mwingine apanjoro wa uber anauliza umeweka number gani ni nini nimekosea mimi ku deserve all this ni nini nimefanya mimi uanzeku cheat on me chakula unapata pahali pa kulala unapata moyo w-ngu naumia nikiona unavyo nitendea acha tu mimi niende nitafute mrembo loyal nimechoka ku gwaruzwa moyo na kitu inaitwa mapenzi acha tu ikae nimechoka kutoneshwa toneshwa vidonda acha ikae nimechoka ku gwaruzwa moyo

mapenzi
its a no go zone
its a no go zone
mapenzi
sitarudia tena
sitarudia tena
mapenzi
its a no go zone
its a no go zone
mapenzi
sitarudia tena
sitarudia tena

unataka nikubembeleze ati sasa ndio unipende chances hu come mara moja lakini yako sasa sasa yame kwisha acha tu nipende yule alie nizaa kama alivyo sema jaymelody nilipo
fika mapenzi yame ni dhahirisha yame nikula yaka ni maliza naapa sitawai rudia tena nimefika kikomoo

mapenzi
its a no go zone
its a no go zone
mapenzi
sitarudia tena
sitarudia tena
mapenzi
its a no go zone
its a no go zone
mapenzi
sitarudia tena
sitarudia tena

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...