letra de watu wake - naiboi
mungu na watu wake
haachi watu wake.
mother fulani, amekopa pesa fulani
achangishe alishe watoto wa jirani
yeeh, ouuh
buda fulani, ametoka base fulani
na worry yake ni asibambwe na maaskari
(some are protected some are not)
kuna ras fulani amekamatwa na mume wa fulani
excuse ya bibi ni mavijana hawalalangi
randa inapigwa safi bro
so what is love
question marks when its right there on your face
so what is love
question marks when its right there on your face
oooh watu wake
haachi watu wake
mungu na watu wake
haachi watu wake
(sir jah)
nigaa fulani, amevuka na kashamba ka fulani
na anakana mbele ya nchi hadharani
manzi fulani, amekula fare fulani
na vile boychild amejipanga hapa nyumbani
(tusidanganyane)
najua kura fulani, zitapigwa na watu fulani
matokeo itaonyesha mtu fulani
(nikama hatuna say no more)
letras aleatórias
- letra de all cried out - lisa lisa and cult jam
- letra de curse your branches - david bazan
- letra de our cry - sirhustler
- letra de chicago typewriter - trophy scars
- letra de load'n the clip (set trip) - nationwide rip ridaz
- letra de universal battle (ft. amber) - time
- letra de get ya issue straight - big k.r.i.t.
- letra de haze - dark matter
- letra de seahorste freestyle (seahorste sunday #1) - seahorste
- letra de rené, maurice et tous les autres - corine