letra de sondeka part 3 - naiboi
sondeka part 3 – naiboi ft jabidi, didiman, ben cyco, maluda & david wonder
tunasondeka, iyee tunasondeka
(oooh halleluyah)
tunasondeka, iyee tunasondeka
(we do it for the father)
tunasondeka, tunasondeka
(let them know, let them know)
tunasondeka, eeeh, sondeka
[jabidii]
unagive it all your all alafu unalipwa na
god bless you, you are going far
tunasondeka, learn ku appreciate
alafu hukua number tutakeep in touch
unapatana na mshirika ameshika kishash
pastor kwa bash na peddy kwa church
cheki, hizo tabia zimeboeka
tuna, riswa, tunasondeka
hakujagi church kupraise anakujanga kuona njeri(tunasondeka)
ana church dago lakini form za kulewa na jeri(tunasondeka)
why you are doing it like that?
maisha finje finje like that(tunasondeka)
why you are doing it like that?
what you give is what you get right back(tunasondeka)
keep on living lie, god atakutema kama waru moto
mdomo ya mtoto, hotter
this one ni moto, can cool with water
sondeka ni moto
tunasondeka, iyee tunasondeka
ikileta noma
tunasondeka, ooh lord tunasondeka
tunarekebisha
[didi man]
shetani kunichezeanga picky ponkie
ukichokesha chokesha, mimi si donkey
mimi sitaki utiriri, sitaki mikosi
form zake haziwezi so, tunasondeka
ati uko na kigonyi utadharau mafan
na mamorio hawakuoni toka dec hadi jan
tunasondeka sondeka, tabia zimebondeka
umechokesha wathii soo..(we give up)
kama ball imetoboka, wacha pressure cheza chini
itabidi utushow kama ni yesu ama jini
unatuchanganya na tabia za kiganga
hatukuoni fiti bro(tunasondeka)
[ben cyco]
kama mziki ni lazima ufwatwe na kiki(tunasondeka)
una maringo hutako kuona shabiki(tunasondeka)
huwezi kuja kuja bila uber buda, jina lako biggie
na ukikuja kuja, microphone unaletewa kwa kiti
aii bro, husomangi bible
unaweka ngoma shala yesu kama title
hi bro, jina langu cyco
tunasondeka maneno this is a revival
tunasonde, tunasondeka ah-ah-ah
kila sunday, bila kuboeka ah-ah-ah
tunasondeka, iyee tunasondeka
(oooh halleluyah)
tunasondeka, iyee tunasondeka
(we do it for the father)
tunasondeka, tunasondeka
(let them know, let them know)
tunasondeka, eeeh, sondeka
[maluda]
naskia wakisema gospel iko chini ati hatutoshi mboga(tunasondeka)
bado tuko fiti uliza naiboi vile ngoma zetu bado bomba(tunasondeka)
pastor ng’ang’a anajichocha anaheal k-mbe pale hakuna kitu(tunasondeka)
mi na-think anatupima buda twende pale tukacheki nini issue(tunasondeka)
unasema umeokoka, k-mbe chini ya maji buda unapiga miti(tumeboeka)
utajipata uko solo njeve ikikupiga ukitingika kwa kiti(tunasondeka)
w-lly paul alitusare lakini bado tunatambua huyu yesu(tunasondeka)
sina noma mi natrust atarudi basi atukuze huyu yesu(tunasondeka)
huwezi pata dem kabla pastor hajakupa gumba(tunasondeka)
wanadai usiende eastlands katiwa na mtu ako runda(tumeboeka)
tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
tunasondeka(bado), tumeboeka
[david wonder]
so so, ma brother husondeka mahali kanisa imebondeka(tunasondeka)
imekuwa ni long long time ni maajabu tunawaonyesha(tunasondeka)
oooh mimi sitaki kuchomeka(tunasondeka)
ndo maana dhambi mbali weka(tunasondeka)
imekuwa ni long long time ni maajabu tunawaonyesha
yaani bado hujaoleka na unafanya naye nini?
na marafiki unawasengenya chini chini
tunaelekea wapi siamini
tusiposondeka, roho ikikataa imekataa(bado)
ah not unless ni ya makaa(bado)
wakisimama nitakaa(nipambane nao)
zimbaka zimbaka zo(sondeka)
tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
(oooh halleluyah)
tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
(we do it for the father)
tunasondeka(bado), tumeboeka(bado)
(let them know, let them know)
tunasondeka(bado), tumeboeka
sondeka
letras aleatórias
- letra de we gone ball - bosstripp4tre
- letra de substance d - kill ebola
- letra de mother love - iskwē & tom wilson
- letra de really - yo gotti, big30 & cmg the label
- letra de don't fight it - smallz one
- letra de finish it - jam home studios
- letra de nome estresa - yyy891
- letra de learning to talk - daytime tv
- letra de tu eres más - adriana lucia
- letra de qt! |freestyle| - whywewish