letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ready - naiboi

Loading...

are you ready jeshi imefika jo na makelele
pombe leo tunakunywa watubebeba
usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
tu na mababy
mashine gas niko ready kushoot
uko ready kudedi? are you ready
unastudy my every move, ready
uko ready tugredi, are you ready
unakaa una mpango na mi
uko ready kuspendi
weekday ni katricky daddy
uko ready wikendi? are you ready

ngoma imetoka stable daddy, ready
uko ready kushaky, are you ready
kwa kona na the homies nani, ready
naita sisters already, are you ready
chakula tunakula mami, ready
uko njaa tukucheki, are you ready
akili si ni nywele aki, ready
wenye vipara tuwacheki
are you ready jeshi imefika jo na makelele
pombe leo tunakunywa watubebeba
usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
tu na mababy
are you ready jeshi imefika jo na makelele
pombe leo tunakunywa watubebeba
usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
tu na mababy, are you ready?
ay
fast till lane then you earn it
kiuno — mpaka uno feni
kusota mpaka kuwa na mapeni
ah ah are you ready
nipe nafasi uone vile ambavyo, niko ready
ondoa wasi ili upate mawoo, gedegede
ukiona muda huu manzi anabamba
na kwa hio — iwe bumper to bumper
master hebu pass the karasia
ju peng kama tupo utopia
hakuna atakayekueleza kitu manze
wewe gonga vitu kisha uliza
are you ready jeshi imefika jo na makelele
pombe leo tunakunywa watubebeba
usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
tu na mababy
are you ready jeshi imefika jo na makelele
pombe leo tunakunywa watubebeba
usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
tu na mababy
are you ready jeshi imefika jo na makelele
pombe leo tunakunywa watubebeba
usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
tu na mababy
are you ready jeshi imefika jo na makelele
pombe leo tunakunywa watubebeba
usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
tu na mababy

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...