letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kitu tamu - naiboi

Loading...

hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
yeah ni tamu kama shokola ama chocobar
ama ka ukiingia dufo na sontola
tam ka oreo, tam ka ki ombitho
tam ka form ya jabare na mamorio
they call me mr tam tam
brand b aka kijana handsome
hustle ni on the daily
lazma bank account ibaki lumpsum
kuishi poa kudishi kupiga looku
stress kutoa niko drinki niko manduku
camp ya wazito usipime utachekwa bure
na mziki umeenda shule

hii kitu ni tamu
kuicheki bila ku double tap ni kukosa nidhamu
utaenda kuitangaza ah ah eeh
usiitafune baby imumunye
usiogope kunishika we nikune
kitu tamu aah aah
tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana
hii kitu ni tamu bana
[breeder lw]
we ngoja mi niomoke ndo uniteke pointi
uko na roho but inakaa umelewa ndo huskii
maisha tamu sana si hudishi mutura na chopsticks
ka si mayai pasua nipate juu ya smokie
si kila kitu tamu italambwa na ulimi
kuna zile unaweza set zikulipuke akilini
tamu ka kukuw-nga firstborn wa wanjigi
kitu tamu tight hizo ndo humezaga cd
na makinika na sijai somea group of schools
kukafunga kabla 30 hizo sa ndo boss moves
achana lobster obamlando si food
after later we kesho kuja kw-ngu na see through
[fena gitu]
hii kitu inadonjo kwa lojo
k1 tuko area onja kitu tamu bana (tamu bana)
ni kitu delicious so so sick viserious
uko within or without then you are in or out no doubt
vile rap iko kwa damu sana fena kitu tamu sana
fena kitu tamu sana
hii kitu ni tamu bana
[pro]
wakileta beef mi naleta cake
i like sweet things mpaka niko na toothache
i might just sing but it makes girl shake
but first ngoja nirap niburst kama iraq
ama kama iraa kwa kidonda na naskia kukam na bonc
ka kitu ni tamu si mi nabonga
we mkiskia kiwaru zidi kubonga
si tukikula mawaru na manyama choma
ah naiboi hii kitu si ni tamu
tamu kama supu ya nyama
ama kama ikust ya mkamba
i’ma call you take my number
hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana
hii kitu ni tamu bana
[femi one]
sindio nimesababisha hapa mavilio
mi ndio chaguo la mateenie yo
hii ligi yo si easy yo
kiriri your bad gal ndio mimi yo
cheki quality si material
hii flow inapigwa dogo
vile we hukus koinange
so terror most baba jipange
je tukivamiwa hapa nani ndio queen?
nani ako ready kudedia team?
digaga zimecome out
cheki vile macho ziko aroused
nimecheki mafala wananisorround
wasichana wanajicrown na kuchafua ni hapa ground
mali safi inafichwa mbele ya karao juu
kanaenda round and round
kitu tamu inacome around
inazunguka mmmh zunguka
kanaenda round and round
kitu tamu inacome around
inazunguka zunguka
hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana (tamu bana)
hii kitu ni tamu bana (hii kitu ni tamu bana)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...