
letra de kenya power - naiboi
nakam thru’ ka ile doh unategea
kukam thru’ ka ile ndoto unaotea
kisafi shinda hata maji unaogea
wanapotelea vile ninatokea
harsh harsh vile mnaongea
cheza sista chini hapa sisi haina
isifike kesho uskie aki maina
tuko major league track ma designer
kutesa si unajua ni kama kawaida
k-meza pia mia mia kama khalifa
tujenge na madrinks ama moshi, aidha
vile namguza anaaniita my das
ana paukwa ana pakawa
ana kazima mi nakawasha
tuko unpredictable kama kenya power
tuko unpredictable kama kenya power
ana paukwa ana pakawa
ana kazima mi nakawasha
tuko unpredictable kama kenya power
tuko unpredictable kama kenya power
ma non-believers sasa wanajionea
pigwa na ile udeadly hata hawajazoea
pande hizi chati tumemwaga mbolea
mapatikano fisa hao watapotea
nina date na kawine hapo kando lazma
anadai look good kwa tv yake plasma
75 inch baby hapo sasa
mungu tutangulie si hutoa sadaka
na alisema ethiopia wapi lighter
mi ndio coaches still the fighter
cargo mi hukaza bado zile tighter
vile nachafua kalonzo wapi wiper
ana paukwa ana pakawa
ana kazima mi nakawasha
tuko unpredictable kama kenya power
tuko unpredictable kama kenya power
ana paukwa ana pakawa
ana kazima mi nakawasha
tuko unpredictable kama kenya power
tuko unpredictable kama kenya power
nakam thru’ kama gossip receipts
ma naija oga wako like ‘wetin be this’
na vile naipiga ako weak in the knees
sikubali defeat unaeza spill the tea
juu kamejaa to the beam
hii feeling ni fit
kidole cha gumba tumenyaka the streets
wanapiga nduru vile wananifeel
hashtag miniskirt thighland is healed
ana paukwa ana pakawa
ana kazima mi nakawasha
tuko unpredictable kama kenya power
tuko unpredictable kama kenya power
ana paukwa ana pakawa
ana kazima mi nakawasha
tuko unpredictable kama kenya power
tuko unpredictable kama kenya power
letras aleatórias
- letra de funeral - senisv
- letra de sent to destroy (remix by suicide commando) - combichrist
- letra de u had it all - chrishan
- letra de vergiftet - jan delay
- letra de another bus - the twang
- letra de never gonna get it - sean biggs
- letra de all points - james vincent mcmorrow
- letra de nazis auf speed - die krupps
- letra de the rich life - enyukay
- letra de all beauty destroyed (comaduster remix) - aesthetic perfection