letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de imani - nahash mwathi

Loading...

yuataka tuwe na imani
kama haradali mbegu
imani isiyoyumbishwa

imani iliyo imara

imani kwenye neno lake
aliyetupenda kwanza
anatuahidi uzima
anatuahidi uzima

nitamwamini
j-po mateso yaje
nitamwamini
iwapo mbele sioni

imani ngao yangu
ya vita mabondeni
nitamwamini anipe imani
nitamwamini anipe imani

safari ya kwenda mbinguni
alisema si rahisi
ni njia iliyo nyembamba
yenye matatizo mengi

lakini anatuahidi
kuwa atakuwa nasi
yeye ameshinda dunia
na yeye ni mwokozi wa wote

nitamwamini
j-po mateso yaje
nitamwamini
iwapo mbele sioni

imani ni ngao yangu
ya vita mabondeni
nitamwamini aah anipe imani
nitamwamini mmhmm anipe imani

je utamwamini wewe akupe imani?

imani (kama ya musa)
imani (kama ya yusufu)
imani (kama ya eliya)
imani (kama ya ruthu)

imani (kama ya esta)
imani (kama ya ibrahimu)
imani (kama ya paulo)
imani (kama ya daudi)

imani (eh! ya petro)
imani (imani ya nuhu)
imani (kama ya samweli)
imani (kama ya enoko)

imani
imani

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...