letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de tusiendelee - naffarioh

Loading...

[intro]
m
z
a
z
ii
mzazii (aah)
[verse]
ka ningekua mp siunang’am, singeburn
siezish-t on the people na ao ndio reason nina-earn
our so called fathers wanatutesa under the sun
wanatu taka taka, though wanatutreat kama trash

free world boss, air hostess akwende
tukipreach peace wanatuzima na bullets
line washacross, basi kaende kaende
kwa ballot watu tuli-tick wamegeuka makupe

since when we were kids, ni lini tuta-adjust
kila siku ni kutenga wanatuona wa-jinga
but still tutawa pick, juu tumetoka mtaa jas
tribalism ndio kitu kenya haiezi kaa bila

wanadaisha sisi young ins, tuna need mentorship
but si tumejihami, tunadai kuleave lеgacy
even though unarmed, wanatu-beat likе never seen
gava inatuf-ck, call that d-ck-tatorship
[chorus]
tuendelee ama tusiendelee (tusiendelee)
kunyanyaswa na gava na manjege (tusiendelee)
kurudi dic-tatorship kaa tene (tusiendelee)
kukaliwa na raia tulielect (tusiendelee)
tuendelee ama tusiendelee (tusiendelee)
tuendelee ama tusiendelee (tusiendelee
tuendelee ama tusiende (tusiendelee)
tumetenga tumetenga tume-

[verse]
kila siku wanatu-pressure ka pascal
usilaumu raia wakibugia zao substance
we can’t bank on them na sibongi ju ya absa
f-ck all of them juu wote ni ma-liars

watuachie tax, wao wachukue salary
juu imekua too much, hatutaki uwaganis
wame-silence church, our faith is staggering
but enough is enough, sisi si watoi wa nursery

ka kufight for your rights ni ku-burn photo
si tutaiburn, after that tutaburn kolo
juu even though tunaezakua na life span ndogo
story yetu itasomwa ata tukiwa long gone
i let the music do the speaking
pushing on a daily adi siku tutaosa
tunaneed help but hatuplay the victim
washow tuko broke wasituuzie uwoga

[chorus]
tuendelee ama tusiendelee (tusiendelee)
kunyanyaswa na gava na manjege (tusiendelee)
kurudi dic-tatorship kaa tene (tusiendelee)
kukaliwa na raia tulielect (tusiendelee)
tuendelee ama tusiendelee (tusiendelee)
tuendelee ama tusiendelee (tusiendelee
tuendelee ama tusiende (tusiendelee)
tumetenga tumetenga tume-

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...