letra de zawadi - nadia mukami
zawadi kanipa mungu sasa kwanini nisipokee
zawadi ya kiyoyozi palipo joto baridi unipepee
tena baridi si nyingi kiasi usingizi uniletee
nikitoka kazini uchovu mawazo unifanya yapotee
ivi ushapendwa manake nikipenda waga napenda kweli
uoga kwa wakutendwa usihofu mimi si kama wale matapeli
basi leo nadeka nacheza napendwa na
wewe, nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe
mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby
nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby
kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
mi ni wako pekee mwengine hapana
wanaosema watasema sana
nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
zawadi yangu…zawadi yanguuu
zawadi yangu…zawadi yanguuu
kwa geti ntaekea mbwa kali ndio mafisi wasisogee
nikulinde nikutunze sarafu mikononi usinipotee
niruhusu nikugande chawa
umenishika pabaya
unachotaka mi ni sawa
mana nishapagawa
jamani penzi letu limebobea
nimepata w-ngu mi napepea
kitausi naringa nikitembea
unavonipenda najichekea
basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe,(na wewe)
nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe
mmh eeeeh basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe mmmh baby
nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe baby
kina chako cha mapenzi nishazama(aaayaayaa)
nguvu zaniisha ukintazama(aaayaayaa)
mi ni wako pekee mwengine hapana
wanaosema watasema sana
nimepata zawadi zawadi yangu mmmmh
nimepata zawadi zawadi yangu yeeeeeah
nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
nimepata zawadi zawadi yangu uuuh
zawadi yangu…zawadi yanguuu
(basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe)
zawadi yangu…zawadi yanguuu
(nishike nipinde nibebe nimenaswa na wewe)
basi leo nadeka nacheza napendwa na wewe
nishike nipinde nibebe nimenaswa na ewe
letras aleatórias
- letra de residente - delabraga
- letra de stay humble - knowledgeee
- letra de feather - july for kings
- letra de 8ball & mjg (chiraq freestyle) - dave east
- letra de le chant du guerrier - octobre
- letra de it’s really raining - a fine frenzy
- letra de wu-doo - snuz
- letra de vengeance part ii - ...and the effect - crom
- letra de watching her eyes - john martyn
- letra de no love - young jay