letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wangu - nadia mukami

Loading...

verse 1
(nadia)
wewe nani, unanipigia simu kama nani
eti niachane mume wako nani
unajua nadia kweli mi ni nani?

(sanaipei)
we ni nani, unampigia simu kama nani eeh
ata utoe vya ndani
atarudi hapa kw-ngu tu nyumbani eeh

(nadia)
anapenda vidogodogo
mwenzako anavimumunya
mwanamke unapenda zogo
tafuta jambo hilo la kufanya

chorus
(nadia)
oh oh ni w-ngu
huyu nasema ni w-ngu
oh oh ni w-ngu
kubali yaishe ni w-ngu

(sanaipei)
oh oh ni w-ngu
huyu nasema ni w-ngu
oh oh ni w-ngu
mwishowe yataisha ni w-ngu
verse 2
(sanaipei)
hivo vimesegi na kuficha simu havinishtui
atachoka nawe, kwengine aende, yule hakagui

(nadia)
kelele ya chura haizui ng’ombe kunywa maji
kw-ngu habanduki
kwako hatoboki
nakwama naye

(sanaipei)
anapenda wife material
mwenzako anakudanganya
mwanamke una kasoro
tafuta jambo hilo la kufanya

chorus
(sanaipei)
oh oh ni w-ngu
huyu unasema ni w-ngu
oh oh ni w-ngu
mwishowe yataisha ni w-ngu

(nadia)
oh oh ni w-ngu
huyu unasema ni w-ngu
oh oh ni w-ngu
kubali yaishe ni w-ngu
bridge
(nadia)
mi sitakoma, koma, koma, koma
mi sitakoma koma koma mama yе

(sanaipei)
ntakukomoa komoa komoa komoa
ntakukomoa komoa komoa msichana we

chorus
(sanaipei)
oh oh ni w-ngu
huyu unasеma ni w-ngu
oh oh no w-ngu
mwishowe yataisha ni w-ngu

(nadia)
oh oh ni w-ngu
huyu unasema ni w-ngu
oh oh ni w-ngu
kubali yaishe ni w-ngu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...