letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de acheni mungu aitwe - nadia mukami

Loading...

hallelujah, yeah
halle, hallelujah

bwana ni mchungaji w-ngu
sitak-mbukiwa na kitu chochote
unilazae kwenye majani mabichi
uniongozae kwa njia za haki

nipitiapo kati ya mauti
sitaogopa wewe una mi
waandaa meza mbele yangu
machoni pa watesa w-ngu

acheni mungu aitwe mungu
acheni mungu aitwe mungu
acheni mungu aitwe mungu
acheni mungu aitwe mungu
(jehova jire, elshadai, elroi, yote ni yako
jehova jire, elshadai, elroi, yote ni yako
he! he!he! yote ni yako
he! he!he! yote ni yako)

nimepita kati ya milima na mabonde
umesema wewe hutaniacha
ata wanitukane waniseme
utabaki kuwa milele mungu wa wanyonge
waliowachwa waliotengwa unawapiga miyo
utabaki kuwa milele mungu wa wanyonge
nipitiapo kati ya mauti
sitaogopa wewe una mi
waandaa meza mbele yangu
machoni pa watesa w-ngu

acheni mungu aitwe mungu
acheni mungu aitwe mungu
acheni mungu aitwe mungu
acheni mungu aitwe mungu
(jehova jire, elshadai, elroi, yote ni yako
jehova jire, elshadai, elroi, yote ni yako
he! he!he! yote ni yako
he! he!he! yote ni yako)

(yelelelyelee he! yote ni yako)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...