letra de niambie - mwiba
intro:mwiba
nshakuambia mengi sana hutaki kunisikia;
sasa nimeamua ngoma kukuandikia;
producer max,tang records…….beat y cipha heads music
verse 1:mwiba
nachizika na ulivyoumbika zaidi ya binti wa malkia/kukuita mrembo nakupunguzia sifa jinsi moyoni ulivyoniingia/
haya ninayokuambia mi najua unanisikia/ila bado mi naumia kusikia moyoni sijkuingia/
hiyo sura ya maji ya kunde….nigee ili niitunze/sitailea kwa makonde sitaruhusu mwiba inishinde/
unaniacha na hiyo catwalk mithili ya naomi wa campbell/hayo macho uniangaliapo kutwa unanipa/
bado nasikitika sipo nawe binti machejo/
au mpaka nitembee uchi ndo uamini nakupenda/au niwe kush kush hadi nitokwe na udenda/
hawajawahi kukuona ila wadogo zangu wanakujua/washakuwa kila wakiniona wananiuliza vipi mwiba imekuwa/
shori jaribu kuelewa sio kila siku unanizingua/maana unavyozidi kuchelewa mwenzio ndo unavyozidi kuniua…
chorus:d-gold
niambieeee kama kinaelewekaaaa/niambieeee kama utaniwekaaaa
nielezeeee kama kinaelewekaaaa/au ndo utanikataa hata nikikukosa sitokata tamaaa
bridge:vumbe
ni we pekee unafanya mi niteseke moyo w-ngu uruke/ni we pekee unafanya mi nisononeke chozi linidondoke/
hakuna,hakuna kama wewe,hakuna anayefanya nipagawe,isipokuwa ni wewe hakuna hakuna nayenifanya nichachaweee…
verse 2:mwiba
usinichukulie kama ukubwa wa pua ndo wingi wa kamasi/ama tabia ya jua ntapotea baada ya mikasi/
sio kweli nikinywa maji mi nakuona kwenye glasi/ila umefika kiw-ngo cha hitaji ndo maana nakupenda kupita kiasi/
tafadhali usinichukulie poa/ama niambie kama nakuboa/
yaani ukahisi nna ngoma sababu umesikia nakohoa/
najua utakuwa mwenye mawazo kujua kilichonivutia/iweje wenzako niwaone uozo halafu kwako mchizi nanywea/
ukiacha figa uwa n-z-ngatia zaidi tabia,heshima pia na vidato ulivyopitia/
kulia alie mtoto akilia mtu mzima kuna jambo/nimekua nawaona warembo ila kwako naukana u-hardcore/
ndio mimi ni mhaya wa kabila na sio tabia/naahidi sitokuharibia kwenye mapenzi utulivu mia/
kama ni hadhi ya urembo we ni zaidi ya nyota 5/nipe nafasi ya upendo tujitokeze kama mfano/
kuna kupenda na kutamani,ngono na tendo la ndoa/niwashie taa ya kijani mwiba spidi haitopoa/
kama unatuhuma juu yangu shori sogea uniambie/achana na umbea wa soo zangu na gia za sio mie…huh
chorus:d-gold and vumbe
letras aleatórias
- letra de priorities (feat. ltthemonk) prod by judah jump - ktriggs
- letra de анапа (anapa)* - lida
- letra de perfect timing - lutrap
- letra de believe for it (live) - cece winans
- letra de i love you - jaxon c
- letra de good, bad & ugly remix - royrex
- letra de vampology - vammpy (aka vammpytheflowgod)
- letra de drxwn 6x - scarlxrd
- letra de things are hotting up - mondo rock
- letra de forever yours - quentin the 5th