letra de legit - muddah
[ intro ]
yea, eeih check
muddah right here
yea, skiza….look
[verse 1]
talk is cheap man i’ll be smilling when we meet
sijui ni bleach ndio pia mi niitwe g nini??
radio nayo manze haipendi nikipreach
wanadai nibonge kuhusu madem na ma bling bling
shish
man hizo ndio gani? me na wonder man
f-ck hawa ma banni hawadai pia si tudishi man
utumishi kwa nani na mtaani hakuna ata amani man
mi huskia wako ndani ndani
si madwanji ndio tulibaki man
huh yea, so blame kwa nani?
mali ya uma wanauma na uma na si tafadhali
ati, bila ganji haimatter ka unakipaji
na huw-nga the same thing ka hujuani na ma biggi flani
[chorus]
i said am to legit too quit
hapa si toki i know i was meant for this
and i, and i do this for the streets
hii ni ya ma dreamer tutafika
usiwai acha kubelieve
aki ya nani
am here to run it
my thing will be banging
kuzama sidhani
wavy kama tsunami
hauwezani nami
[verse 2]
i said, i said am to legit too quit
i’ve been starving for too long now am too ready to eat
so ready to blow al-qaida in this b-tch
top dawg utadhani nime signiwa tde
buda, no wonder twasaka ganji
show nayo sifiki manze ka mi haunikanji
nilishachoka kucheza chini ya maji
cause am banging na itabaki hawa watiaji wanipe taji
yo, so cheki ni how
niulizie around
mi hufanya wa bounce na of course mi hu run hii town
skiza
na hii na ya wale hao hujiamini
usicheze chini
jichoche we ndio the sh-t buda iko nini??
[chorus]
i said am to legit too quit
hapa si toki i know i was meant for this
and i, and i do this for the streets
hii ni ya ma dreamer tutafika
usiwai acha kubelieve
aki ya nani
am here to run it
my thing will be banging
kuzama sidhani
wavy kama tsunami
hauwezani nami
letras aleatórias
- letra de the dogg n'me - 2nd ii none
- letra de besos - e. adeva
- letra de big ideas - sun airway
- letra de エンドレスライン (endless line) - reol (group)
- letra de street runnings - mally more
- letra de just act like - richard lugo
- letra de before and after - risky business
- letra de prime motivator - the giraffes
- letra de talk too much* - jeremih
- letra de shoe shine - jim capaldi