
letra de nipo south africa - msomali
[intro]
dully kibody
ahh vitamin, yooh
mwambie nipo south africa
nipo south africaa
[verse 1]
unajua sikupenda kuondoka kuwa mbali na wewe
mi mwenzako sikupenda kuondoka kukuacha mwenyewe
mtunze sana huyo mwanangu
itunze sana hiyo damu yangu
nimemiss kikongwe mama yangu
nimewamiss wadogo wadogo zangu
mwanangu akikuliza niko wapi
mwambie nimekwenda mbali, nimekwenda kutafuta
akikuliza tena, naomba mwambie
nimekwenda mbali, nimekwenda kutafuta
aking’ang’ania, naomba mwambie
nimekwenda mbali, nimekwenda kutafuta
[chorus]
south africa
mwambie nipo south africa
nipo south africa
mwambie nipo south africa
[verse 2]
mwambie nipo kiwanjani, kiwanjani
asije leta tafarani, tafarani
mwambie nipo kiwanjani, kiwanjani
asije leta tafarani, tafarani
tena umchunge, asije kuingia kwenyе makundi mabaya
naomba umchunge, asije kupewa jina la mtoto mbaya
kusеma nitarudi kesho, kesho kutwa
ule msemo w-ngu umeuzoea
mi nitarudi kesho, kesho kutwa
ule msemo w-ngu umeuzoea
mi labda nirudishwe kwenye sanduku nimekufa
ila siyo kurudi kapuku nimechoka
nirudishwe kwenye sanduku nimekufa
ila siyo kurudi kapuku nimechoka
mimi bora nirudishwe kwenye sanduku nimekufa
ila siyo kurudi kapuku nimechoka
nirudishwe kwenye sanduku nimekufa
ila siyo kurudi kapuku nimechoka
[pre-chorus]
mwanangu akikuliza niko wapi
mwambie nimekwenda mbali, nimekwenda kutafuta
akikuliza tena, naomba mwambie
nimekwenda mbali, nimekwenda kutafuta
aking’ang’ania, naomba mwambie
nimekwenda mbali, nimekwenda kutafuta
[chorus]
south africa
mwambie nipo south africa
nipo south africa
mwambie nipo south africa
[bridge]
juzi kati nimekoswa na bunduki south africa
nimekamatwa na kete, wamenishika
mkono wa kulia hapa unapwita
nimepigwa cha ukali yani, daaah
[outro]
(pole sana baba mtu)
dah, asante sana, asante sana mama mtu
respect watafutaji south africa
wapambanaji
letras aleatórias
- letra de god's plan - uptownbodega
- letra de falling for someone - blossoms
- letra de table for one - k. michelle
- letra de she's got dementia - alex goot
- letra de hiding place - witterquick
- letra de sunset - jaspertoofly
- letra de heavy waves - new amstrdm
- letra de the elated world (cornell boxes) - shriekback
- letra de o clever one - son little
- letra de como zaqueu - liz lanne