letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nakukumbuka mama (i miss you mama) - msomali

Loading...

intro
cyril music
natamba sana

verse 1
mama mama mama, ohh i miss you mama
mama mama mama, ohh i miss you mama
mama mama mama, ohh i miss you mama
nick wizzo
mi niliweka dhamana na wewe
mwisho wa siku ukaondoka
ukaniacha ukaenda mama
nimemiss mawazo malezi yoote
yoote uliyonifundisha mimi
onaa yoote uliyonifundishaa mamaaa
onaa yoote uliyonifundishaa mamaaa
onaaa onaa

chorus
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
naomboleza nashika tamaa
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
naomboleza nashika tamaa
mamaahhhhhh maaahh maaahhhh maahh
verse 2
la shai nisamehe mola tangu uage dunia
ulimwengu nauchukia mamaa
la shai nisamehe mola tangu uage dunia
ulimwengu nauchukia mamaa
mi sina budi kusema ewala haya yoote alopanga mola
umefumba macho kama umelala
k-mbe ndio basi sikuoni tena
zinarudi fikiraa fikiraaa nikik-mbuka upendoo
inakuja twasira twasira umeacha kubwa pengo
zinarudi fikiraa fikiraaa nikik-mbuka upendoo
zinarudi twasira twasira umeacha kubwa pеngo

chorus
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
naombolеza nashika tamaa
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
nimek-miss sana w-ngu mama
naomboleza nashika tamaa
mamaahhhhhh maaahh maaahhhh maahh

verse 3
usiku wa manane kilio vilio kutwa kuchwa ulinibembeleza mama
nilipopigwa mwenzio we mama ulikuja mbio mi ulinidekeza sana
dharau za manesi ulishindana nazo hodini mi nije duniani
ulipingana nazo zisilete chanzo nishindwe mie kuja duniani
zinarudi fikiraa fikiraaa nikik-mbuka upendoo
inakuja twasira twasira umeacha kubwa pengo
zinarudi fikiraa fikiraaa nikik-mbuka upendoo
zinarudi twasira twasira umeacha kubwa pengo
outro
mama mama mama
mama mama mama
mama mama mama

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...